Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na kusafirishwa safari ndefu.
Sasa haya yaliyofanywa na Jeshi katili la Afrika Kusini hadi yakasababisha kifo cha Steve Biko, ndio hayo hayo yalifanywa na Jeshi letu la Polisi kwa Mdude Nyagali.
Dunia nzima ililaani ukatili uliofanywa na Polisi wa Afrika Kusini hadi kusababisha kifo cha Steve Biko. Dunia nzima inapaswa kulaani ukatili uliofanywa kwa Mdude Nyagali na wengine hapa Tanzania, na kushukuru sana kwamba Mdude Nyagali bado tunae akiwa hai.
Mama Samia, asilimia 70 ya maofisa wako wa Polisi wamepoteza credibility na legitimacy ya kuendelea kuwa katika Jeshi la Polisi kutokana na yale waliyotenda wakati wa utawala wa Magufuli. Kama kweli una nia ya kuleta amani na haki katika nchi hii, waondoe haraka sana
The security services took Biko to the Walmer police station in Port Elizabeth, where he was held naked in a cell with his legs in shackles. On 6 September, he was transferred from Walmer to room 619 of the security police headquarters in the Sanlam Building in central Port Elizabeth, where he was interrogated for 22 hours, handcuffed and in shackles, and chained to a grille. Exactly what happened has never been ascertained, but during the interrogation he was severely beaten by at least one of the ten security police officers.
On 11 September, police loaded him into the back of a Land Rover, naked and manacled, and drove him 740 miles (1,190 km) to the hospital. There, Biko died alone in a cell on 12 September 1977.