Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
So far, hakuna incriminating evidence yeyote.Sabaya anajua anachokifanya. Bila shaka wanasheria wake sio mafala kihivyo na walichekecha pros & cons ya hiyo move na wakajiridhisha kuwa ina faida zaidi kwao kuliko madhara.
Labda Taasisi ya Urais ndio imemwambia aseme hivyo. Tutajuaje? Harafu ni kweli technically bado ni mtumishi wa Serikali ya Samia maana hakufuzwa bali alisimamishwa tu kupisha uchunguzi