Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi

So far, hakuna incriminating evidence yeyote.
 
Ina maana Alitumwa ubakaji na uporaji pesa???After all HUKUMU YA SABAYA ITAHALALISHA HUKUMU YA UGAIDI YA MBOWE !!!WAMEAMUA KUMTOA SABAYA KAMA CHAMBO ILI KUMMALIZA MBOWE KABISA KWENYE RAMANI YA MAISHA YAKE NA SIASA!!!!!!!mawazo huru!!!!
Kwenye kundi lΓ‘ kuua viongozi, Sabaya anaposema ametaka kuuwawa mara tatu. Hapo anajaribu kumuunganisha mtu fulani.
 
Kweli ndugu. Jamaa pale Arusha walikuwa hawamtaki kabisa wakati akiwa mwenyekiti UVCCM Arusha. Toka enzi za JK huyu dogo ni shida. Watu wa juu yake wangekuwa ni viongozi wazuri hata Sabaya angekuwa poa tu kwasababu ya nidhamu yake kwa wakubwa. Tatizo aliyemteua nae alikuwa katili hatari.
 
Nani anaweza kuamini eti rais wa taifa anaagiza duka moja dogo huko Arusha lichunguzwe??? Rais anaangalia habari ya mfanyabiashara mmoja mdogo ambaye labda hatoi risiti??? Jamani, ni marufuku kutumia akili ya wastani ???
 
kwani mbowe ni nani mbele ya sheria za nchi hii?!
kama Haki imetendeka kwa Sabaya bilashaka itatendeka pia kwa Mbowe.
yaani wafuasi wa mtuhumiwa wa Ugaidi wanataka kutuaminisha kuwa Haki kwa mbowe ni kuachiwa tu sio kufungwa jela!!!
Haki ni Haki tu.
siku Mbowe akifungwa kifungo cha maisha pia msisahau kuipongeza mahakama kwa kutenda haki.
 
Hakuna mwenye mamlaka ya kumuamuru mtu afanye Uhalifu.
Hakuna aliyejuu ya sheria sijui kama unalijua Jambo Hilo.

Huyo aliyemuagiza mwenyewe Kama angekuwepo na Kama sheria zinatenda kazi vyema wote wanakesi ya kujibu
Hiyo inaitwa Nuremberg Defense, ambayo wahalifu wa vita Kuu ya pili walitoka kuvitumia kuitetea kuwa walitumwa na Hitler.

Ikatengenezwa kanuni hii:

The fact that a person acted pursuant to order of his Government or of a superior does not relieve him from responsibility under international law, provided a moral choice was in fact possible to him.
 
Bro upo vizuri

Pata juisi ya muwa apo
 
habari ya weekend??
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu sabaya bhana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…