Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee sijaelewaNilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyewe nimecheka sana mpaka nikashindwa kumwambia rafiki yangu kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu
Jamaa ni kiboko[emoji23] [emoji23] [emoji23] 800 haitaleta tafrani.
Same here, naamini hvyoaisee...jamaa anamuonekano wa kifalafala hivi lakini ni ana akili sana,na kajua kuchezea akili za hao YoNo.
Duh,nimeanimi huyu jamaa ni Dr.! japo nahisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya mpango huu.
Si mchezo.Tusubiri mkuu hii nchi kwa vituko huwa haviishi[emoji3][emoji3]
[emoji5] [emoji5] [emoji5][emoji3][emoji3][emoji3] so na wewe vya kukimbiwa pm unaleta hapa? Sijakukimbia ila huwa naingia kuzisoma mara chache chache sana
[emoji25] [emoji25] [emoji25]Akhuuu nimegoma [emoji3][emoji3]