Utetezi wa dr. Louis

Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseeee sijaelewa
 
aisee...jamaa anamuonekano wa kifalafala hivi lakini ni ana akili sana,na kajua kuchezea akili za hao YoNo.

Duh,nimeanimi huyu jamaa ni Dr.! japo nahisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya mpango huu.
Same here, naamini hvyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] so na wewe vya kukimbiwa pm unaleta hapa? Sijakukimbia ila huwa naingia kuzisoma mara chache chache sana
[emoji5] [emoji5] [emoji5]

Tushanunua Nyumba za Lugumi. Njoo tuu usijali. Si umeona mabangaloo yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…