Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Tena wampe kabisa hiyo nyumba maana walishasema Tooooooooop apewe tu kwa kweli,hawezi kosa Mia tisaNilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Jasiri sana, full confidence!Ha ha ha ha ha nimependa ujasiri wake
Mama Yono naye Ali blow kinomanomaaa.... Usikute alianza kujiona Dubai maana 10% yake si mchezo...hahahahahAchana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
.......na kweli,maana hakuna aliposema natoa mill wala bill yeye akitamka mia8 mara mia9 itapendeza mara tena naongeza 50 hakusema anaongeza mill50 yeye alisema anaongeza 50.wale watangazaji wa Yono wanataka kumuwekea maneno mdomoni.Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
aiseeeeeee hata me nimecheka sana,Yule mama Yono wanayemsema yuko smart kichwani alikwepo kwenye mnadaNimechekaaaaaa sana uzuri nipo peke yangu ofisi dah!
Atafungwa kwa kosa gani?Uyu jamaa katuchekesha sana, habari yake iendelee ila asifungwe comedian la mwaka .....
Mjini akili nguvu kijijiniMchimba shimo kazana mnyewe walahiii [emoji38] wasubiri kesi nyumba kanunua na fidia watamlipa[emoji118] yupo na rafiki yake Bill Gates [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kama namuona alivyokua anampepea jamaa pale.... full vigeregereMama Yono naye Ali blow kinomanomaaa.... Usikute alianza kujiona Dubai maana 10% yake si mchezo...hahahahah
Labda alitaka kulipa ndiyo wakamletea complain!!!hahahah wanasubiri awape account no pesa zihamishwe kwenye account ya serikali akawaambia ngoja ninazo hapa hapa na kuanza kutoa sarafu za mia mia na hamsini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si angelipa tu hiyo 25% ya 900?
ahahahaaaaa ni interview tosha kwa Yono auction wameonekan wana IQ zero wote waliokuwa wanasimamia mnadaTunajifunza kuwa makini tufanyapo jambo lolote linalohusu fedha.unaweza kupata hasara kwa kukosa umakini.
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900
Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Chief tengaga mda wa siasa na mda wa ku-refresh mind..sio kila saa tunajadili mambo ya vyama humu use your brain!Hapo akitoka polisi tu tutasikia kachukuliwa na chedema kwenda kuimarisha chama. Yetu macho na masikio.....tunasubiri chadema wampe ukatibu wiki ijayo.
Haaaaa haaaaa 900 itapendeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] 800 haitaleta tafrani.
aisee...jamaa anamuonekano wa kifalafala hivi lakini ni ana akili sana,na kajua kuchezea akili za hao YoNo.
Duh,nimeanimi huyu jamaa ni Dr.! japo nahisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya mpango huu.
Kuwa na sense of humor mkuu, hiki kihoja hatari kabisa...