Ilushenisti
Senior Member
- Mar 11, 2013
- 118
- 46
Inawezekana walitaka kumtapeli akasema hapandi jukwaani bila malipo,wakabishana huko mda unaenda majamaa wakaona hapa siyoHaya mambo ya kutapeli wasanii nilijuaga hayapo tena.. Mondi kastuka fasta
hizo ni euro 3250, au??
design kama haifiki millioni 20 anazolipwa Mondi kwa shoo za nje...!!
au aliwapa discount?
Babu Tale anaona utamu tu kupanda ndege? Diamond asilaumiwe kwa uhuni huu na asikubali kufanya nao mkata mpya aje arudi Bongo akasubiri Fiesta.
Hakuna lugha iliyonicheeuwa humo kama kusikia eti kuna Investers kwenye show ya Diamond? Kwa hali hii na inatokea ulaya basi Le Mutuz wacha aitwe Billionare.
Mwenye picha za US Guy na Mr Shipping Guy mtuwekee hapa maana haya majina yameniacha hoi.
Diamond kweli ana njaa anadai hata uero 250? Chezea wema lazima akili ikae sawa!!
Cc: maatope , heaven on desert
Hii n laana kwa ndomomondi..
Alikua ametoka kukataa milion kumi kwa waTZ waishio UK,akaukubali mil.8 kwa huyo mNigeria..
Akilini mwake akidhani wale wabongo watatangaza price yake halali kwasababu alikua ameshadanganya huku TZ kuwa anachukua only kwanzia mil.20 kupanda juu..
Sasa ameumbuka,na bei yake halali tumeshaijua,thamani ya diamond nje ya nchi ni mil8,hivo ndani ya nchi itakuwa mil5..
kuna movie inaitwa Cash....inabidi uitazame kama hujawahi kuitazama.Diamond kweli ana njaa anadai hata uero 250? Chezea wema lazima akili ikae sawa!!
Cc: maatope , heaven on desert
Le Mutuz bana!
Na bado atakupa mpaka bp uyu dogo...keep on hating !
usiombe mbongo akakuchukia, tena akuchukie kwa sababu ya mafanikio yako.
matumbo am no hating,naongea ukweli tu..
Huuu ni ulimbukebi,alikataa mil1p kwa waTz wenzake na akafuata hyo mil8 kwa mNiveria thats not fair..
Kama hata kwa hyo point bado mnaona nna hate,basi poleni,pengne mnafanana akili na muhusika..