Ilushenisti
Senior Member
- Mar 11, 2013
- 118
- 46
Somji Juma
Alikua ametoka kukataa milion kumi kwa waTZ waishio UK,akaukubali mil.8 kwa huyo mNigeria..
Akilini mwake akidhani wale wabongo watatangaza price yake halali kwasababu alikua ameshadanganya huku TZ kuwa anachukua only kwanzia mil.20 kupanda juu..
Sasa ameumbuka,na bei yake halali tumeshaijua,thamani ya diamond nje ya nchi ni mil8,hivo ndani ya nchi itakuwa
Hebu rudia kusoma utaelewa

Last edited by a moderator: