The dead is always guilty
hakuna msaada kwa mbakaji hata kama sasa sifa yake ni mwendazake....................soma Galatians 6:7 "Do not deceive yourself. God is not mocked. Whatever a man sow that he shall also reap."
Huwezi kupanda magugu ukatarajia kuvuna mpunga........
sometimes the dead confirm their guiltiness from their tombs..............they want to free themselves that they may be accepted into heaven..................
lulu hahitaji kuthibitisha kuwa alibakwa bali mwendazake alitaka kumbaka inatosha na hao taarifa ya hao madaktari hawahitajiki
Hivi mtu akiwa na umri chini ya miaka 18 akiua hakuna makosa, hata kwa kudhamiria? Suala lililopo mahakamani nafikiri ni kuua na siyo kubaka!
Kwahiyo, mwisho WA siku itakuwa ni KOSA LA MAREHEMU!
ilikuaje aingie chumbani kwa SK?mbona hakupiga kelele ya kuomba msaada alipotaka kubakwa?
Kama wewe ni mwamnasheria basi sina shaka kwamba utakuwa na rekodi ya kushindwa kesi nyingi mahakamani.
Hata mimi nisiye mwanasheria nitahitaji kupata ushahidi wa kilichompeleka lulu kwa mwendazake usiku wa manane. Na ukianza kumtetea luku kwamba alitaka kubakwa, hapo ndipo utawekwa kwenye angle mbaya ya kuthibitisha kwamba alitaka kubakwa, kwani tayari kuna mashahidi wanaoshuhudia kwamba hawa watu walikuwa ni wapenzi na kimsingi walikuwa ni wachumba watarajiwa, usidhani kwamba hakimu ama jaji atapuuzia ushahidi kiasi unachodhania wewe.
Ushauri wangu kwako mkuu kama kweli wewe ni mwanasheria ama wakili basi jipange upya, huu utetezi unaoutoa hapa hauwezi kamwe kumnusuru lulu, na kama wewe ndie mwanasheria wake, mimi namuona lulu akinyeshewa mvua za kutosha.
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........
una ushahidi wa ya kuwa aliingia bafuni na kumwacha Lulu chumbani mwake?
hili la sumu hata DPP hana na haiwezi kuwa sababu au ushahidi ambao aliutumia katika kumfungulia kesi hii ya mauaji...............kwa hiyto lipo nje ya huu mjadala.
Ninachojaribu kufanya hadi hivi sasa ni kutafakari utendaji wa DPP na wala siyo mahakama kama baadhi ya wachangiaji wanavyodhani.........na swalli hadi kesho halina majibu............ni je DPP alikuwa na ushaidi wa kutosha wa kumkamata Lulu na hata kumfungulia kesi ya mauaji? Ni kuwa hana na hata ule alionao unamsafisha Lulu..............sasa kwani anakuza mambo ambayo hayapo.................ninadiriki kusema DPP is just a victim of mob justice just like Lulu is............
Birth certificate?na sie 2tajuaje km kwel ana miaka 17 km na yeye acpotoa ushahd? na pia kabla hajapelekwa kokte alwah kutamka kwnye mkas kua yeye ni 18
Mkuu tutazunguka sana, ila mimi nakuunga mkono kuwa dogo hana kesi ya kujibu! Mwendazake angekuwa hai, ingekula kwake!nenda kabake binti chini ya miaka 18 halafu kama hiyo itakuwa utetezi wako...................soma sheria ya makosa ya jinai ya kijinsia sexual offences act khalafu utajua mitego mingi akina mama kula bungeni walivyotufanya mbaya........kama ni chini ya miaka 18 imekula kwa mtuhumiwa wa ubakaji.........zaidi ya hapo itategemea ushahidi wa mazingira kama upo...........
Rutashubanyuma is ma favorite today! what a great thinker
una ushahidi wa ya kuwa aliingia bafuni na kumwacha Lulu chumbani mwake?
hili la sumu hata DPP hana na haiwezi kuwa sababu au ushahidi ambao aliutumia katika kumfungulia kesi hii ya mauaji...............kwa hiyto lipo nje ya huu mjadala.
Ninachojaribu kufanya hadi hivi sasa ni kutafakari utendaji wa DPP na wala siyo mahakama kama baadhi ya wachangiaji wanavyodhani.........na swalli hadi kesho halina majibu............ni je DPP alikuwa na ushaidi wa kutosha wa kumkamata Lulu na hata kumfungulia kesi ya mauaji? Ni kuwa hana na hata ule alionao unamsafisha Lulu..............sasa kwani anakuza mambo ambayo hayapo.................ninadiriki kusema DPP is just a victim of mob justice just like Lulu is............
Elizabeth Michael Kimemeta
b) Marafiki wa Lulu watathibitisha ya kuwa wao ndiyo waliokuwa wakimpigia simu na kutaka kujua alikuwa wapi na kwa nini amechelewa. Ushahidi huu wa kimazingira utazidi kubomoa hoja ya polisi ya kuwa Lulu alikwenda kwa mwendazake kwa nia ya kumtoa roho.
Hii inaweza kushindwa maana DPP ana uwezo wa kwenda kwenye Kampuni ya simu husika na kuomba mawasiliano yaliyofanyika kipindi kile ile kubaini kama yalitoka kwa hao marafiki zake au kwa Mbakaji wa pili.