UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

Hivi mtu akiwa na umri chini ya miaka 18 akiua hakuna makosa, hata kwa kudhamiria? Suala lililopo mahakamani nafikiri ni kuua na siyo kubaka!
 
hakuna msaada kwa mbakaji hata kama sasa sifa yake ni mwendazake....................soma Galatians 6:7 "Do not deceive yourself. God is not mocked. Whatever a man sow that he shall also reap."

Huwezi kupanda magugu ukatarajia kuvuna mpunga........

Ruta plz plz! Usijaribu kuingiza mambo ya dini hapa sijawai kucoment ktk thread zinazousu haya makitu ya kanumba na lulu ila hapa imebdi.Wote hawa walikuwa wazizi and now kanumba anavuna alichopanda mbele za Mungu ,lakni lulu rehema za Mungu bado zipo kwake kutubu na kuacha njia zake mbaya.YESU alisulubiwa kwa ushahdi wa uwongo na hapa naona umeweka ushahdi wa uwongo ambao hata mim kwa kusoma naona kama lulu anakichwa cha kuelewa akipewa haya madesa lazima achomoke na lawama za uwongo zitakwenda kwa kanumba. maskitiko yangu mashabki wa kanumba awatampa huyu mtoto aman ya moyo pindi atakapo rudi uraian
 
sometimes the dead confirm their guiltiness from their tombs..............they want to free themselves that they may be accepted into heaven..................

Too bad, in Tanzania the dead is a saint.
 
lulu hahitaji kuthibitisha kuwa alibakwa bali mwendazake alitaka kumbaka inatosha na hao taarifa ya hao madaktari hawahitajiki

Kama wewe ni mwamnasheria basi sina shaka kwamba utakuwa na rekodi ya kushindwa kesi nyingi mahakamani.

Hata mimi nisiye mwanasheria nitahitaji kupata ushahidi wa kilichompeleka lulu kwa mwendazake usiku wa manane. Na ukianza kumtetea luku kwamba alitaka kubakwa, hapo ndipo utawekwa kwenye angle mbaya ya kuthibitisha kwamba alitaka kubakwa, kwani tayari kuna mashahidi wanaoshuhudia kwamba hawa watu walikuwa ni wapenzi na kimsingi walikuwa ni wachumba watarajiwa, usidhani kwamba hakimu ama jaji atapuuzia ushahidi kiasi unachodhania wewe.

Ushauri wangu kwako mkuu kama kweli wewe ni mwanasheria ama wakili basi jipange upya, huu utetezi unaoutoa hapa hauwezi kamwe kumnusuru lulu, na kama wewe ndie mwanasheria wake, mimi namuona lulu akinyeshewa mvua za kutosha.
 
Hivi mtu akiwa na umri chini ya miaka 18 akiua hakuna makosa, hata kwa kudhamiria? Suala lililopo mahakamani nafikiri ni kuua na siyo kubaka!

akiwa chini ya miaka 18 ni kosa kuua lakini adhabu ya kifo hawezi kupewa..................pili shitaka ni kuua lakini utetezi nao lazima uuangalie na kufanyiwa kazi ambao hapa ni kujilinda mtoto wa watu asibakwe.........
 
Aliyepigiwa simu mtu maarufu hawezi kuambatanishwa na mshitakiwa namba moja?
 
ilikuaje aingie chumbani kwa SK?mbona hakupiga kelele ya kuomba msaada alipotaka kubakwa?

Dah, tuseme mjomba hujui kuwa kufanya mapenzi na mtoto hata kama amekubali kwa hiari yake na mapenzi yake kwako etc ni ubakaji? Someni hizo sheria jamani maana hapa panonyesha unachofahamu ni "kubaka ni kushika tu mwanamke kwa nguvu" Hii ni zaidi ya ujuavyo.
 
Rutashumbanyuma is ma favorite today! what a great thinker
 
na sie 2tajuaje km kwel ana miaka 17 km na yeye acpotoa ushahd? na pia kabla hajapelekwa kokte alwah kutamka kwnye mkas kua yeye ni 18
 
Kama wewe ni mwamnasheria basi sina shaka kwamba utakuwa na rekodi ya kushindwa kesi nyingi mahakamani.

Hata mimi nisiye mwanasheria nitahitaji kupata ushahidi wa kilichompeleka lulu kwa mwendazake usiku wa manane. Na ukianza kumtetea luku kwamba alitaka kubakwa, hapo ndipo utawekwa kwenye angle mbaya ya kuthibitisha kwamba alitaka kubakwa, kwani tayari kuna mashahidi wanaoshuhudia kwamba hawa watu walikuwa ni wapenzi na kimsingi walikuwa ni wachumba watarajiwa, usidhani kwamba hakimu ama jaji atapuuzia ushahidi kiasi unachodhania wewe.

Ushauri wangu kwako mkuu kama kweli wewe ni mwanasheria ama wakili basi jipange upya, huu utetezi unaoutoa hapa hauwezi kamwe kumnusuru lulu, na kama wewe ndie mwanasheria wake, mimi namuona lulu akinyeshewa mvua za kutosha.

hizi hoja nilijkwisha kuzijibu awali pitia tena maelezo yangu ya kuwajibu wachangiaji wengineo.......kifupi tu hakuna mahakama itakayohalalisha wachumba kuvunja sheria ya ubakaji.............leo ubake mtoto wa watu halafu utewtezi uwe nimemwoa au nitamwoa...............hiyo itakula kwako..............gusa watoto wa watu khalafu nenda na huu utetezi ndipo utajua mvua za mawe zimedondokea wapi...................huhitaji kuwa mwanasheria kufikiria tatizo lenu mnafikir shule inakupa vipaji.............shule yaweza kuviendeleza vipaji lakini Ni Mwenyezi Mungu ndiyo anayekupa vipaji na waweza kuviendeleza bila ya hata siku moja kukaa darasani........usikubali kuwa mtumwa wa kutafuniwa darasani jifunze kutafuna mwenyewe..........meno....brain/ubongo umepewa wa nini?
 
Kazi kwenu wanasheria, mtupe ufafanuzi wa mambo. Nafurahi kusoma maelezo hayo yote.
 
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........

Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako makini..Mimi sidhani kama mtu yoyote atakayechanganua hili jambo kwa makini ataona Lulu ana hatia..Lulu hana hatia,umeeleza kwa kirefu ila,labda niongezee kwa kusema,walikuwa wawili chumbani,hivi Lulu akisema,kanumba alitaka kunibaka katika kujitetea nikamsukuma akaanguka ni nani atakayetoa ushahidi haikuwa hivyo? au akisema walikuwa wanasukumana na si kwamba yeye ndiyo alimsukuma tu,nani ataprove otherwise..offcourse pia Lulu jinsi atakavyokuwa akijieleza itategemea pia,akijichanganya changanya anaweza kutia ugumu katika kesi...HATA hivyo kesi kama hii inaweza kuchukua hata mwaka mpaka kutolewa hukumu ila 80% chance binti huyu mapepe atapatikana hana hatia
 
una ushahidi wa ya kuwa aliingia bafuni na kumwacha Lulu chumbani mwake?

hili la sumu hata DPP hana na haiwezi kuwa sababu au ushahidi ambao aliutumia katika kumfungulia kesi hii ya mauaji...............kwa hiyto lipo nje ya huu mjadala.

Ninachojaribu kufanya hadi hivi sasa ni kutafakari utendaji wa DPP na wala siyo mahakama kama baadhi ya wachangiaji wanavyodhani.........na swalli hadi kesho halina majibu............ni je DPP alikuwa na ushaidi wa kutosha wa kumkamata Lulu na hata kumfungulia kesi ya mauaji? Ni kuwa hana na hata ule alionao unamsafisha Lulu..............sasa kwani anakuza mambo ambayo hayapo.................ninadiriki kusema DPP is just a victim of mob justice just like Lulu is............

Wewe unao huo ushahidi?? kwanini kupiga makelele huku huna information yeyote? unataka kutuaminisha wewe unayajua mazingira ya kesi kuliko DPP?? wewe ni mwanasheria au kilaza wa sheria?? Unadhani maisha ya mtu ni sawa na kuku wako unayeweza kumchinja anytime bila kuulizwa?? Watanzania bana... kila kitu wanajua kila kitu wana majibu na ndio maana hatuendelei kuanzia kwenye soka kila mmoja ni kocha na ana majibu hata kwenye upelelezi wa kesi??

nenda kabake binti chini ya miaka 18 halafu kama hiyo itakuwa utetezi wako...................soma sheria ya makosa ya jinai ya kijinsia sexual offences act khalafu utajua mitego mingi akina mama kula bungeni walivyotufanya mbaya........kama ni chini ya miaka 18 imekula kwa mtuhumiwa wa ubakaji.........zaidi ya hapo itategemea ushahidi wa mazingira kama upo...........
Mkuu tutazunguka sana, ila mimi nakuunga mkono kuwa dogo hana kesi ya kujibu! Mwendazake angekuwa hai, ingekula kwake!
 
Rutashubanyuma is ma favorite today! what a great thinker

DPP utendaji wake ni maruerue tu wakati umefika wa kuangalia ni kwa nini wale walioshindwa darasani ndiyo tunawasukuma waende polisi na matokeo ndiyo haya haki zetu zinapindishwa kwa sababu DPP mwenyewe na wasaidizi wake ni vilaza............hawana uwezo wa kutafakari hata kidogo na nionavyo kuna watuhumiwa weggi wa kesi za mauaji wengi wako mahabusu ambapo hawastahili kuwa huko kwa kulingana na ushahidi uliopo........
 
una ushahidi wa ya kuwa aliingia bafuni na kumwacha Lulu chumbani mwake?

hili la sumu hata DPP hana na haiwezi kuwa sababu au ushahidi ambao aliutumia katika kumfungulia kesi hii ya mauaji...............kwa hiyto lipo nje ya huu mjadala.

Ninachojaribu kufanya hadi hivi sasa ni kutafakari utendaji wa DPP na wala siyo mahakama kama baadhi ya wachangiaji wanavyodhani.........na swalli hadi kesho halina majibu............ni je DPP alikuwa na ushaidi wa kutosha wa kumkamata Lulu na hata kumfungulia kesi ya mauaji? Ni kuwa hana na hata ule alionao unamsafisha Lulu..............sasa kwani anakuza mambo ambayo hayapo.................ninadiriki kusema DPP is just a victim of mob justice just like Lulu is............

Unajua iwapo utaendelea kuuliza maswali na kujijibu mwenyewe utapotea mwituni, DPP sio mtu mjinga kwa kiasi hicho unachofikiria. Kazi ya DPP ni kujaribu kuona kwamba kulingana na ushahidi uliopo kwa wakati huo, kuna kosa linaweza kuwa limefanyika, hivyo atapeleka kesi hiyo mahakamani ambayo ndiyo yenye dhamana na wajibu wa kutafsiri iwapo kweli kosa limefanyika kama inavyo tafsiriwa kwenye sheria zetu.
 
lulu-top.jpg

Elizabeth Michael Kimemeta

b) Marafiki wa Lulu watathibitisha ya kuwa wao ndiyo waliokuwa wakimpigia simu na kutaka kujua alikuwa wapi na kwa nini amechelewa. Ushahidi huu wa kimazingira utazidi kubomoa hoja ya polisi ya kuwa Lulu alikwenda kwa mwendazake kwa nia ya kumtoa roho.

Hii inaweza kushindwa maana DPP ana uwezo wa kwenda kwenye Kampuni ya simu husika na kuomba mawasiliano yaliyofanyika kipindi kile ile kubaini kama yalitoka kwa hao marafiki zake au kwa Mbakaji wa pili.
 
Back
Top Bottom