UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...


DPP wetu ni bomu hata kama ni wewe au wewe ugali wako unatoka mfukoni kwake....................yawaje alimbadilishia hat ya mauaji Ukiwaona Ditopile Mzuzuri kama siyo mbabaishaji tu....
 


Sijui hata kama unataarifa kuwa kwa sheria za bongo mtoto wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa kwa consent ya wazazi wake sasa sijui hiyo hoja ya ubakaji ulojishika nayojishika kwa kicheche kinachosingizia miaka 17 unasitoa wapi. Tumefuatilia mahojiano yake alipokuwa akiongea hadi mishipa inamtoka kuwa yeye tayari ana miaka 18 na akafanya party. Sijui kama umeona pia statementi aloitoa mama yake lulu ambayo ukimsikiliza kwa masikio mawili anakiri kufahamu mahusiano yaliyokuwepo.
 

Aisee!!!, nina wasiwasi na uelewa wako wa sheria na utendaji wa vyombo vya dola, DPP sio polisi ni raia mwema kama mimi na wewe tu, tofauti ni kuwa yeye amesomea sheria na kuteuliwa na Mh. Rais kuwa DPP.
 

ninafahamu lakini akienda polisi kuwa umembaka kwa sababu ya umri mdogo imekula kwako chini ya sexual offence act..............
 
We reap what we sow!

Pole LIZY

R.I.P THE GREAT!
 
magazeti yanaripoti walichosimuliwa.................Lulu ndiye mwenye taarifa sahihi. Mpira umekwisha...the gal is innocent. full stop........


If a kid of seventeen shoot his mom and dady to death, can the high court let him go because he is going to be an orphan? that is not good at all, the boy can kill again. This drama can not teach the right lesson LULU.
 
Huyo Lulu alishaojiwa Clouds TV kwenye kipindi cha Take one. Alikuwa amefikisha umri wa miaka 18 na alikuwa amefanya birthday party,,, Na alikuwa anajipongeza kwa kufikisha umri huo... Alisema hii ndio fursa yake ya kuanza kufanya mambo makubwa zaidi maana umri ulikuwa kikwazo kwake... Sasa ishu ya umri hapo haina mshiko wala ukweli,... Umri wake upo wazi kwa kila mtanzania...
 
Aisee!!!, nina wasiwasi na uelewa wako wa sheria na utendaji wa vyombo vya dola, DPP sio polisi ni raia mwema kama mimi na wewe tu, tofauti ni kuwa yeye amesomea sheria na kuteuliwa na Mh. Rais kuwa DPP.

zaidi ya asilimia 99 ya wateule wa Raisi hawana sifa na ndiyo maana nchi hii ni masikini pamojana kuwa na utajiri asilia kibao..............hata Nyerere mwenye alikiri kuwa tuna kila sababu ya kuendelea lakini kikwazo chetu ni uongozi mbovu..............as I have said be4 DPP huyu ni bomu na hata yule aliyemteua ana walakini...........
 

pole clouds fm siyo mahakama ambako kila kitu ni kwa kiapo..........
 

Kaka Ruta ninaposoma ulichokiandika nashindwa kufahamu nini hasa lengo lako, mfano unaposema "mwendazake" lugha unayoitumia sikubaliani nayo kabisa. Tokea mwanzo umekuwa mtetezi wa Lulu na kuonesha dhahiri kuwa marehemu Kanumba ni mbaya na mtenda dhambi kabla hata hujajua umri halisi wa Lulu, mie binafisi namuonea huruma sana Lulu kwa wakati mugumu anaopitia na inaitavyokuwa huko mbeleni maana mzigo alionao ni mzito haubebeki.

Unapotaka kuestablish mazingira ya kubakwa kama self defense hiyo haiondoi ukweli kuwa marehemu amefariki mikononi mwake na anakesi ya kujibu, labda ungetusaidia ili kosa la kubakwa kama lilikuwepo vitu gani vinaconstitute kosa la kubakwa?

Pia unaposema kuwa Lulu amewekwa mahabusu ya wakubwa sikubaliani na wewe kwa sababu kwa ajili ya usalama wake Lulu amewekwa sehemu yake pekeyake chini ya ulinzi maalumu. Lazima ujue kuwa hata kama marehemu alisababisha kifo chake kuna watu wengi sana ambao walikuwa mashabiki wake na wanaweza kufanya kitu cha ajabu sana kwa Lulu, hivyo Lulu anatakiwa kupewa ulinzi wa hali ya juu sana kuliko kawaida.
Hivyo basi jaribu kutumia lugha sitahili kwa marehemu sio maneno kama mwendazake, mzinzi, mbakaji haitatusaidia sana sie ila tutakuona kama ulikuwa na bifu binafsi.
 
Muhimbili wamesema ni kifo cha kawaida....................haya yote wala hayana maana yoyote.........

Hiyo ripoti umeisoma wewe? na unakuwa convinced kuwa "Ni kifo cha kawaida".... Kwahyo kifo kisicho cha kawaida kinakuwaje? Acha ukanjanja kwenye sheria narejea tena tuupe muda nafasi nina uhakika hutokuwa na cha kuchangia siku maelezo ya awali yatakaposomwa.
 

Tatizo unachanganya siasa hapa, nilifikiri tunajadiri hili la Lulu na Kanumba.
 

Mkuu andika full citation otherwise hizi sheria unazozisema zitakuwa ni za kwako binafsi.
 
ninafahamu lakini akienda polisi kuwa umembaka kwa sababu ya umri mdogo imekula kwako chini ya sexual offence act..............

Well said,..... Hapo sasa rekodi ya aina ya mawasiliano tuliyokuwa tumefanya kabla itahamua kuwa kama tumekuwa tukipika na kupakua kila uchapo leo hii hoja ya ubakaji ni useless....
 
Kama hii itakubalika basi itabidi na walimu waliofungwa kwa makosa ya ubakaji naowaanagliwe kwa upya, maana kuna vitoto-vijitu vizima vinavyowatega walimu wa watu kila uchao.......Lulu pamoja na hao wanafunzi wenye tabia kama zake wote ni makahaba tu, ndio nimesema ni makahaba na wanastahili kuadhibiwa. Full stop
 
Mimi ni mpenda haki, hakuna anayeweza kusema 4 sure kuwa Lulu ni muuaji. Ila kwa kuwa suala liko mhkmn basi tungoje hukumu ya chombo hicho kilichoteuliwa kutoa haki kwa Wa-tz.:shock:
 
Pitia tena hoja zako Allen naona zina migongano mikubwa..............mwanzo ulisema mwendazake mchumba wake alikuwa Donata.............baada ye unamgeuzia Lulu............hivi mwendazake alikuwa ana wa chumba wangapi kwa wakati mmoja?.........ingawaje utetezi wa kubakwa au kukusudiwa kubakwa haupanguliwi na uchumba au hata ndoa na kinda wa chini ya miaka 18........



 
Ruta nimependa uchambuzi wako, na kimsingi huko ndiko LULU anapoona ataponyokea

Lakini sasa ili hayo yote yawe kama ulivyobashiri inabidi umri wa miaka 17 uthibitishwe kwelikweli....................

Nijuavyo mimi LULU anamiliki gari na anali drive mwenyewe na ana driving licence...............
Tunajua wote leseni hutolewa kuanzia miaka 18

LULU mwaka jana aliutangazia umma kwa kufanya bonge la party ya Birthday kutimiza miaka 18 mbele ya jamii..........na akafanya mahojiano na media mbalimbali kuwa sasa ni mtu mzima wanao muandama kujihusisha na utuuzima wamkome(sijui lina effect gani hili kisheria vikitumika kuthibitisha ulaghai wake wa miaka kufanya ya kiutu uzima)

Lakini mwisho wa siku rekodi zake kwenye birth certificate na shuleni zita sema ukweli kujenga hoja ulizo zi bashiri au zita zidi kumbomoa kwamba anajua alichofanya na ndio maana anajaribu kuhadaa mahakama kuhusu miaka kuficha madhambi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…