UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

10. Jamii yenye hasira haimtaki ndo maana walivamia kituo cha polisi Oysterbay.

Mi si Mwanasheria, lakini Advocate Ruta una kazi ya ziada kama utetezi ni huo. hauna mashiko! Hana pa kutokea!

tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........
 
Pia kumbuka katika sheria ya Ndoa Binti under 18 anaweza kuolewa kwa ruksa ya Mzazi.

Mama Lulu na Mama Mlezi wa Wasanii walishabariki uchumba wao kiasi cha kula na kupakua.

Anayo kazi ya kuudhihirishia Mahakama kwa nini ghafla amekuwa 17 na si 18 kama alivyotamba katika media na walimwengu. nani anapooa au anapokuwa na GF anaulizia cheti cha kuzaliwa zaidi ya miaka.

Ushahidi wa Kimazingira tu utamweka pabaya. Imekula kwake japo tunamwonea huruma.
 
Hayo ni mawazo yako na ni vizuri kuweka imaginations katika mwenendo wa kesi kama hizi. Hata hivyo kutoka kwa LULU ni asilimia kubwa. kwanza ameshitakiwa kwa Mauaji(Murder) na siyo mauaji ya kutokukusudia (manslaughter). Hii itamweka nje kwa sababu proof ya murder katika mazingira yale itakuwa ngumu sana. Lakini hata hivyo vielelezo vya mwendelezo wa kesi za aina hii huwa vinakuwa vingi na baadhi yake vinaweza vikwamweka hatiani cha msingi ni kusubiri tuone mwisho wake.
Hata hivyo tukumbuke kuzungumzia na kutoa opinion ya kesi ambayo iko mahamani ni kosa.
 
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........

Mkuu, stop being a cheap advocate

Open your eyes and think.

Kesi inategemea ushahidi, hoja zako zimejikita katika kigezo cha umri na speculation kuwa amebakwa na kuacha hoja zote za msingi.

Subiri postmotem na results za mkemia mkuu na mawasiliano ya simu yote ndo urudi tena.

Cheza na kesi ya mauaji wewe . . .

Unarahisisha mambo kilahisi bila hoja za nguvu!
 
a) Mwendazake ndiye aliyemwita kuwa ana mazungumzo naye ya haraka usiku wa tukio juu ya tasnia ya filamu. Hivyo yeye Lulu hakuwa na makusudio ya kwenda kwa Kanumba kwa minajili ya kumwuuwa. Kumbuka DPP ni lazima athibitishe nia ya kuua ili mahakama imtie hatiani Lulu lakini kama ni kanumba ndiye aliyemwita mtuhumiwa nia ya Lulu kwenda kwa mwendazake kwa nia tajwa itaota mbawa kuwa isingewezakana kuwa vivyo kama DPP anavyodai.

6 Months wamekuwa wakipika na kupakua ushahidi upo.

b) Marafiki wa Lulu watathibitisha ya kuwa wao ndiyo waliokuwa wakimpigia simu na kutaka kujua alikuwa wapi na kwa nini amechelewa. Ushahidi huu wa kimazingira utazidi kubomoa hoja ya polisi ya kuwa Lulu alikwenda kwa mwendazake kwa nia ya kumtoa roho.

Tofauti na unavyosema. Ushahidi wa simu na SMS unaonekana alikuwa na Wapenzi wengine. Mama Lulu na Mlezi wa Kanumba walibariki uhusiano wao.

c) Lulu atathibitisha mahakamani ya kuwa kanumba siye mpenzi wake na kwa hivyo hoja ya DPP kuwa kulikuwa na ugomvi wa mapenzi kukosa mwelekeo.

Haina mashiko. Mashahidi wanaojua uhusiano wao wa miezi 6 wapo.

d) Lulu atajenga hoja ya kuwa Kanumba alitaka kumbaka na yeye alitumia nguzu za mikono yake kujihami na kutokana na umri wa miaka 17 mahakama lazima ikubaliane naye ukizingatia mazingira yenyewe: Yawaje mtu mzima amkaribishe binti mdogo wa chini ya miaka 17 chumbani mwake kama lengo siyo kumbaka? Yawaje Kanumba akutwe hana nguo kwa maana ya kuwa yuko uchi wa mnyama na binti mdogo hivyo tena chumbani kwake? Kwa hiyo, hata kama lulu alitumia silaha iliyokuwemo chumbani kujilinda, mahakama itampa manufaa ya "benefit of doubt" na hivyo kuukubali utetezi wake. Lulu hakutumia silaha yoyote kulingana na ushahidi uliopo mikononi mwa DPP.

Kumbaka? haina mashiko. Ni wapenzi wa kupika na kupakua. Ugomvi ni wa wivi kwa kuwa Lulu alikuwa na mpenzi mwingine na polisi wana records na Lulu alikubali (Bob Junior?)

e) Lulu atadai kilichomwangusha Kanumba chini na kukosa fahamu hakina uhusiano na yeye bali ni matatizo yake ya kiafya na atatumia taarifa ya madaktari wa Muhimbili kuthibitisha ya kuwa kilichomtoa roho mwendazake ni mshtuko mkubwa katika ubongo wake (Brain concussion) ambao haukusababishwa na majeraha ya mwilini mwake ambayo hata hivyo hayapo. Mwendazake hakuwa na jeraha lolote kuonyesha lingeweza kumsababishia mshtuko tajwa.

Fani ya Udaktari waachie wenyewe. Brain Concussion inatokea pale ambapo mtu amejogonga kichwa kwa sababu yoyote. Si ugonjwa. Kanumba ama aliipigwa, ama aliangukia kichwa.

f) Lulu atadai mahakamani ya kuwa hakuna ushidi wowote ule wa kitaalamu ya kuwa marehemu alikufa kwa lolote jinginelo na inashangaza hata DPP kumfungulia kesi ya mauaji na hivyo kumbughudhi na kumdhaliliisha mbele ya jamii na hivyo kuiomba mahakama iangalie namna ya kumfidia dhidi ya kubambikiziwa kesi ambayo hata haipo au "malicious prosecution".

Ipo kazi. Brain Concussion inasababishwa na kujigonga kichwa. Je Kanumba alianguka mwenyewe? Alisukumwa? Alipogwa?

Concussion of the brain: A traumatic injury to the brain as a result of a violent blow, shaking, or spinning. A brain concussion can cause immediate and usually temporary impairment of brain function such as of thinking, vision, equilibrium and consciousness

Source:
Concussion of the brain definition - MedicineNet - Health and Medical Information Produced by Doctors

Mkuu jipange uje na hoja nyingine.
 
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........

Nimejibu hoja zako zote kwa hoja za ushahidi. Jipange urudi tena. Usitoe matumaini ya speculations bila ushahidi wala hoja za nguvu.
 
Tofautisha kosa la 'ubakaji' na 'kujihusisha na ngono na minor'

Usichanganye
 
Hayo ni mawazo yako na ni vizuri kuweka imaginations katika mwenendo wa kesi kama hizi. Hata hivyo kutoka kwa LULU ni asilimia kubwa. kwanza ameshitakiwa kwa Mauaji(Murder) na siyo mauaji ya kutokukusudia (manslaughter). Hii itamweka nje kwa sababu proof ya murder katika mazingira yale itakuwa ngumu sana. Lakini hata hivyo vielelezo vya mwendelezo wa kesi za aina hii huwa vinakuwa vingi na baadhi yake vinaweza vikwamweka hatiani cha msingi ni kusubiri tuone mwisho wake.
Hata hivyo tukumbuke kuzungumzia na kutoa opinion ya kesi ambayo iko mahamani ni kosa.

haki ya kikatiba ya kutoa maoni ipo mbaya ni kujadili yale yanaoendelea ndani ya mahakama ambayo hata mahakama kuu haijafika.......achilia mbali kuanza kusikilizwa.............usikubali kwenye maisha yako ukawa bora liende ......jega utamaduni wa kutafakari kila kitu ili uweze kukiboresha kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
hata kama kama alienda kule ili afanywe umri unamlinda................kulingana na sheria huyo ni mtoto hajui alilokuwa akilifanya.........hana hatia ila kanumba ni mbakaji aliyeokolewa na kifo kushitakiwa kwa makosa ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia.......................kuweni waangalifu na hao mabinti

Huyu binti ana drive,bila shaka ana driving license ambayo ninavyofahamu ni mtu wa kuanzia miaka 18 ndio anapatiwa,

Pili nadhani ni kama 2010 kama sikosei alimaliza F4 unataka kuniaminisha kuwa alimaliza akiwa na miaka 15?

Pia swala la vyeti vya kuzaliwa Bongo sio kitu cha kuaminika sana kwani hata wewe hapo ukitaka hata kesho ni kiasi cha kwenda rita unamaliza kazi,

Sifurahii wakati mgumu alionao binti ila tuache haki atendeke na sio kutafuta visingizio ambavyo kwa upande mwingine hata kama itakuwa ni kweli kumuelewesha mtu mwenye akilizake inakuwa ngumu sana.
 
kwa mfano
mkemia mkuu baada ya kufanya vipimo akagundua kuwa maji ya macho,pombe na soda vilikuwa na sumu-je lulu atakuwa nje ya hukumu juu ya hilo?

vipi kama mahakama itataka itumie ushahidi wa crip alizokuwa akihojiwa na wanahabari juu ya umri wake na hata kuchukua ile video ya birthday yake aliyotimiza umri wa miaka 18 na yeye kuhutubia hadhira kwa kumshukuru mungu kufikisha umri wa miaka 18?

je huyo mpenzi maarufu aliyempigia simu wakati akiwa na kanumba,anaweza nae kuwa matatani na kuingizwa ktk kesi ya ubakaji pindi tu mahakama ikijiridhisha kuwa ni kweli ana miaka 17?

kwa upande wangu,Lulu atakuwa huru kama tu mahakama itaamua na kutoa msamaha pasi kufuata kanuni,sheria na taratibu walizojiwekea la sivyo chochote chaweza tokea

tusubiri maamuzi ya mahakama
 
mawazo mazuri lakini mwaka wa kuzaliwa hauwezi kuchakachuliwa na driving licence...............awe nayo au la..........kama anadai ana miaka 17 yabidi tukubali au tutoe ushahidi wa birth certificate inaymuumbua...........na hata kama ana miaka 18 bado utetezi wa kubakwa lazima uchunguzwe..............hata mtu mzima bado aweza kudai kabakwa......
 
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........
Nani kakwambia kuwa alibakwa?.... statutory rape itathibitishwa na daktari, as in kuangalia michibuko au mbegu, ukishapita muda fulani like 48hrs huwezi kuthibitisha kirahisi.
Soliciting sex to a minor inawezekana, ila si rahisi kuprove na pia sio sababu ya kuua (sisemi kwamba lulu ameua).
All in all, ana kesi ya kujibu, na miaka 17 siyo sababu, ni mtu mzima (criminally i.e can STAND TRIAL AS AN ADULT).
Ila hawezi kupata LWOP.
 
kwa mfano
mkemia mkuu baada ya kufanya vipimo akagundua kuwa maji ya macho,pombe na soda vilikuwa na sumu-je lulu atakuwa nje ya hukumu juu ya hilo?

vipi kama mahakama itataka itumie ushahidi wa crip alizokuwa akihojiwa na wanahabari juu ya umri wake na hata kuchukua ile video ya birthday yake aliyotimiza umri wa miaka 18 na yeye kuhutubia hadhira kwa kumshukuru mungu kufikisha umri wa miaka 18?

je huyo mpenzi maarufu aliyempigia simu wakati akiwa na kanumba,anaweza nae kuwa matatani na kuingizwa ktk kesi ya ubakaji pindi tu mahakama ikijiridhisha kuwa ni kweli ana miaka 17?

kwa upande wangu,Lulu atakuwa huru kama tu mahakama itaamua na kutoa msamaha pasi kufuata kanuni,sheria na taratibu walizojiwekea la sivyo chochote chaweza tokea

tusubiri maamuzi ya mahakama

yaani hiyo ndiyo Lulu anatoka liulaini kwa sababu mwendazake alikuwa anakunywa vikali hata kabla ya Lulu kuingia chumbani kwake kwa hiyo kama ni sumu alipewa na wengineo au alijiwekea yeye mwenyewe.........kwa maana na kuchoka na maisha..............

Isitoshe mwendazake alikuwa chumbani wakati Lulu alipoingia chumbani kwake........kujenga hoja kuwa Lulu alimwekea sumu huku Kanumba akiona..................haikubaliki.......au na sumu hiyo itabidi ijulikane uwezo wake wa kufanya kazi ni sekunde au dakika ngapi hata kutoa maisha ya mtu....................ni ngumu kwa ushahidi huo
 
Ruta na Allien

Kwa maelezo yenu ya utetezi inaonyesha marehem na lulu were proffessional porn stars

Mchungaji, the best I can say they were lovers na siyo hit and run. Ingawa Kanumba alitaka iwe siri. Toka kaachana na Wema Kanumba ametulia hata kama alikuwa anafanya ni kwa siri sana.

Huyu dongo waliopika na kupakua kwa ushahidi wanapita kumi hata mwenyewe hakumbuki. Wote walimbaka?

Pili huyu Advocate Ruta anachanganya hoja. Wala maelezo aliyotoa ni ya kubuni. Just speculation.
 
Back
Top Bottom