Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Magufuli aliamini Sabaya ndio anaweza fanya kazi hiyo kwa ufanisi ,na Rais hapangiwi
 
Hapo kifungo kinamsubiri hana akili kabisa
 
Sawa mkuu
 
Hadi wewe umemgeuka Sabaya? Basi huyo bwana ana hali ngumu sana.
 
Unadhani kwanini viongozi wa Arusha hawakumzuia kufanya hiyo operation?
 
Kwa hiyo Anna Mgwira aliyekuwa RC Kilimanjaro ndiye alikuwa na jurisdiction Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…