UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

Halafu nafasi ya mwenyekiti uvccm taifa wagombea ni wazanzibari tupu!

Kundi la kifo ni hili la nafasi ya mwenyekiti UWT taifa. Patachimbika hapa.
Mkt UVCCM tumesema zamu hii Mkt atatoka Zanzibar shida iko wapi?
 
Huyu Dr.wemael chamshana atatumikiaje mabwana wawili....

Anawania nafasi mbili KWA wakati mmoja!? Hakuna wenngine wenye sifa stahiki!? Zaidi yake!?....

Ama kweli Ccm ina wenyewe...
Kate Kamba ...MGOMBEA UENYEKITI MKOA DSM NA UWT TAIFA
 
vipi huyu kapita tawi lenu lilee la wajeda
 
Huyu Dr.wemael chamshana atatumikiaje mabwana wawili....

Anawania nafasi mbili KWA wakati mmoja!? Hakuna wenngine wenye sifa stahiki!? Zaidi yake!?....

Ama kweli Ccm ina wenyewe...
Wagombea uvccm wakristo hawakujitokeza hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…