bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanalipwaHivi hawa wanalipwa au wanajitolea tu?.
Wanalipwa vizuri sn pia ni wapiga diliWanalipwa
ACT hawana makatibu wa vijana kila wilaya Tanzania na wao kelele tu mitandaoni za Abdul NondoSo what , ina tofauti gani na lile baraza la ACT
Hujamwelewa mwandishi Ana compare makatibu Hawa na Baraza la mawaziri la zitto kabweACT hawana makatibu wa vijana kila wilaya Tanzania
Naskia wanalipwa laki 5 pm, kuna kipindi jiwe aliwahi kutoa hii siri.Hivi hawa wanalipwa au wanajitolea tu?.
Laki 5, halafu mtu aache ualimu Mkuu? Itakuwa ualimu anaendelea nao na ukatibu pia anaendelea nao. Inalipa.Naskia wanalipwa laki 5 pm.kuna kipindi jiwe aliwahi kutoa hii siri
Upo sahihi kabisaTumeanza penyezwa vijana wapya kwenye njia ya kuwaletea umasikini watanzania
Bado ni nyingi sana kwao walipwaswa walipwe hata laki na nusuNaskia wanalipwa laki 5 pm.kuna kipindi jiwe aliwahi kutoa hii siri
Hawana kazi yoyote zaidi ya utapeli tapeli tu wa mjiniLaki 5,halafu mtu aache ualimu Mkuu?Itakua ualimu anaendelea nao na ukatibu pia anaendelea nao.Inalipa.
Na kuuza vile vipande vya maboksi wanaita kadi zao.Hawana kazi yoyote zaidi ya utapeli tapeli tu wa mjini
Zamda sadick ana wakilisha wilaya mbili, wanging'ombe na buhigwe. Ina maana hakuna vijana wengine huko UvccmUTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini
Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
View attachment 2170001View attachment 2169996View attachment 2169997View attachment 2169998View attachment 2169999View attachment 2170000
Pesa inatoka wapi, ni zile tozo zetu au?Wanalipwa