UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini

UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini

Hawa ndiyo greenguards, hawa ni sehemu ya wale wasiojulikana. Humo ndimo walimotokea akina Makonda na Sabaya.

Kama tunataka kujenga a civilized nation, UVCCM ilitakiwa kufutwa. Ni kundi la waovu.
 

UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini​


Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
View attachment 2170001View attachment 2169996View attachment 2169997View attachment 2169998View attachment 2169999View attachment 2170000
 
Back
Top Bottom