Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL)
Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) huku Dkt. Felician Bakamaza Kilahama akiendelea kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI)
Aidha, Rais Magufuli amemteua Prof. Shadrack S. Mwakalila kuwa Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kipindi cha miaka miwili

.