Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau.
Tafadhali pitia kiambatanisho.View attachment 1259575
Huyo Mkuu wa chuo Cha MNMA sio mpya. Jiridhishe kabla ya kuandika. Mwakalila anaendela banah.Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL)
Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) huku Dkt. Felician Bakamaza Kilahama akiendelea kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI)
Aidha, Rais Magufuli amemteua Prof. Shadrack S. Mwakalila kuwa Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kipindi cha miaka miwili
Hahaha we jamaa..... Malizia mwenyeweHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
For your records boss!Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa 100%
Uwege unaweka posts humu JF na mitandao mingine ya kijamii ukiweke CV yako, au kama vipi hata namba za simu, barua pepe na vinginevyo, nakuhakikishia wiki hii haitaisha utakuwa "mteule"Hivi mimi nakosea wapi?
Mbona teuzi zinanipita sana?
Acheni majungu, watu wafanye kazi.Kuna wakati watu walihoji mbona kila post muhimu zilizo karibu na Mheshimiwa na zile Nyeti basi anateuliwa mtu ambaye kwa nyakati tofauti amewahi kuwa TANROAD wakati mheshimiwa alipo kuwa wizara ya barabara?
Leo tena aliyekuwa Meneja wa TANROAD mkoa wa Mwanza ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ATCL. Kampuni ambayo sasa CAG haruhusiwi kugusa mizania yake ya hesabu, naye huyo bwana Emmanueli Korosso anasemekana kulikuwa na utatu mtakatifu akiwa TANROAD Mwanza, Kampuni ya Nyanza Road na waziri mhusika wakati huo kiasi cha kufanya Kampuni hiyo kulundikiwa kazi. Na hata sasa inapewa kazi hata bila zabuni kutangazwa.
Jee kunani huko TANROAD na awamu hii? Ni kweli kuwa kulikuwa na watendaji makini sana au ni Team mipango inaundwa?
Hizi team zinazo undwa na watu kupeana post zile nyeti na zinazohitaji usiri inaogofya na kifuatacho!