Uteuzi: David Nchimbi ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB Plc

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu?

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:

(i) Jaji Mstaafu Beatrice Rhoda Mutungi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Rufani za Kodi (TRAT). Jaji Mstaafu Mutungi anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Gad John Mjemmas ambaye amemaliza muda wake;

(ii) Dkt. Diwani Bakari Msemo ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI). Dkt. Msemo ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, anachukua nafasi ya Dkt. Julius David Mwaiselage ambaye atapangiwa majukumu mengine; na

(iii) CPA. David Carol Nchimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB Plc. CPA. Nchimbi anachukua nafasi ya Dkt. Edwin Mhede ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Sharifa B. Nyanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

1738163827565.png

Pia soma: Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025
 
Mmmh Serikali imerudi full mkoko tena NMB

Biashara itafanyika kweli kwenye hii Bank,Wale makaburi waki netherland waliifanya Bank kuwa kubwa Tanzania toka ile ya makabwela

Sasa hii ya Government kuwa the owner by big share ,Future is uncertain
 
Back
Top Bottom