Hii kazi ya kuteua anaiweza sn hakuna kingineDaaaa huko huko na uteuzi kuna haraka hivyo? Angeteua kabla kuondoka
Kuna ubaya katika hili mkuu?Kutwa kuteua na kutengua
Kwani Rais wa nchi si huwa anafanya kazi akiwa popote mkuu au mambo ni tofauti na ninavyofikiria ?Daaaa huko huko na uteuzi kuna haraka hivyo? Angeteua kabla kuondoka
Ubaya upo mkuu, kuteua ni gharama sn huyo mtu analipwa vitu vingi na anayeondoka analipwa pesa ndefu sana.Kuna ubaya katika hili mkuu?
Sasahivi Rais ni Makamo wa Rais mpk ataporudi hata baraza la mawaziri likiitishwa leo akayeongoza ni Makamo wa Rais, kama anafanya kazi popote kwanini asiongoze akiwa huko huko?Kwani Rais wa nchi si huwa anafanya kazi akiwa popote mkuu au mambo ni tofauti na ninavyofikiria ?
Aliye "ondoka" katika nafasi hiyo alifariki mkuu.Ubaya upo mkuu, kuteua ni gharama sn huyo mtu analipwa vitu vingi na anayeondoka analipwa pesa ndefu sn
Kwani amefariki leo? kwanini asisubiri arudi ndiyo ateue?Aliye "ondoka" katika nafasi hiyo alifariki mkuu.
Kwahiyo shirika lingeendelea kukaa bila mkurugenzi ?
Hamna jinsi ndugu yang. Tumvumilie tu kama jinsi tulivyomvumilia mwenyekiti wetu alieenda kulewea ruzuku za chama na michango yetu. Huku akitelekeza makao makuu ya chama. Ameshindwa hata kupanga rangi ya kuzugia!Ubaya upo mkuu, kuteua ni gharama sn huyo mtu analipwa vitu vingi na anayeondoka analipwa pesa ndefu sn
Maza mdini snHapa kwa vile kateuliwa mkristo wanywa divai huwezi kuta wanaimba wimbo wa udini.
Hapo utaambiwa elimu yake ndo inambeba.
Akiteuliwa mvaa kobazi mama mdini anapendelea wa imani yake.
Sasahivi Rais ni Makamo wa Rais mpk ataporudi hata baraza la mawaziri likiitishwa leo akayeongoza ni Makamo wa Rais, kama anafanya kazi popote kwanini asiongoze akiwa huko huko?
Mwenzako yupo ndani lakini familia inapata mahitaji yote tofauti na wewe huna hata uhakika wa kulaHamna jinsi ndugu yang. Tumvumilie tu kama jinsi tulivyomvumilia mwenyekiti wetu alieenda kulewea ruzuku za chama na michango yetu. Huku akitelekeza makao makuu ya chama. Ameshindwa hata kupanga rangi ya kuzugia!
View attachment 1995396
Nadhani wewe ndio useme, ni kwanini asubiri ?Kwani amefariki leo? kwanini asisubiri arudi ndiyo ateue?
Nani ambaye amekaimu? kuna haraka gani ya kuteua akiwa huko nje?Anaendelea kuongoza na ndio maana katumia mamlaka yake ya kuteua akiwa huko huko.
Suala la makamu wa Rais kuongoza kikao cha baraza la mawaziri haimaanishi kwamba ndio amekua top, maana kuna mazingira ambayo Rais anaweza kuwapo hapa hapa nchini na Makamu wake akaongoza kikao hicho (kwa ruhusa ya Rais).
Vinginevyo useme ni vifungu gani (vyovyote vile viwavyo) vimevunjwa kwa Mh. Rais kufanya uteuzi akiwa nje ya nchi.
Hatujawahi kuona hivyo kwa JK wala JPM huyu kazidiNadhani wewe ndio useme, ni kwanini asubiri ?
Maana utaratibu unaruhusu yeye kuteua akiwa popote, wakati wowote.