UTEUZI: Dkt. Nicolaus Herman Shombe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NDC

Nani ambaye amekaimu? kuna haraka gani ya kuteua akiwa huko nje?
Anatakiwa kusubiri nini ?
Kiutaratibu anaruhusiwa kuteua wkati wowote, akiwa popote.
Sasa tueleze ni nini haswa alipaswa kukisubiri ?
 
Mwenzako yupo ndani lakini familia inapata mahitaji yote tofauti na wewe huna hata uhakika wa kula
Hakika mkuu... Mimi natafuta kwa jasho, yeye anatafuta kwa kutapeli so hatuwezi kuwa sawa. michango ya wabunge aliyokuwa anawakata kila mwezi kwa muda wa miaka mitano amekusanya sh'ngapi? Na hii ndio sababu amekuwa mgumu kuwafukuza live kina mdee maana anajua fika watamdai hela zao. Hata hivyo inasemekana kuna baadhi ya wabunge wanataka kwenda kufungua kesi kudai makato yao.
 
Mi nikajua nchi iko chini ya Makamu w Rais.

Duh.
 
Hivi hii NDC imeleta tija gani kwenye Nchi kuna vitu vinafanyika mpaka mtu unaona watawala sijui wanawaza nini

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 

Nafasi Zipo​

Tuchape Kazi Ndugu Zangu
 
Hapa kwa vile kateuliwa mkristo wanywa divai huwezi kuta wanaimba wimbo wa udini.

Hapo utaambiwa elimu yake ndo inambeba.

Akiteuliwa mvaa kobazi mama mdini anapendelea wa imani yake.
Katoka damian kingia nicholas
Watu kimyaaaa,
Ngoja wasikie juma hapo uone povu bila sabuni😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…