Uteuzi: Jerry Silaa ateua Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote

Uteuzi: Jerry Silaa ateua Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya kifungu cha 7(1)(c) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya mwaka 2009 na kifungu cha 66 (a)() cha Marekebisho ya Sheria Na. 4 ya mwaka 2021 amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF):

1. Mhandisi Leo Peter Magomba:
ii. Bi. Najma Abdalla Ali
Mhandisi Peter Phillip Mwasalyanda:
iv. Dkt. Elizeus John;
v. Bw. Ikuja Jumanne Ikuja:
vi. Bi. Elizabeth Riziki.

Aidha, uteuzi huo ni wa muda wa kipindi cha miaka mitatu (03) kuanzia tarehe 17 Oktoba, 2024 hadi tarehe 16 Oktoba, 2027.


1729184453764.png
PIA SOMA
- Waziri Jerry Silaa amteua Mhandisi Mwasalyanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)
 
Back
Top Bottom