Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Wazoefu ikulu hawatakiwi naona kuna jambo haliko sawa
 
vip safari hi marehemu hawajapenya kwenye uteuzi au malaika wa kuzimu yuko likizo
 
Huyo Dr Akwilapo ndiye aliyemtengenezea Magufuli PhD ya Chemistry pale Mlimani wakati huo tukiwa pale naona bado anaendelea kula fadhila, na atakuwa keshasahau organic chemistry yote.
 
Naunga mkono

Cha kushangaza waliondolewa wengi wanatoka jirani na DSTV, ikulu kuna nini kinaendelea?
 
Pia inaonekana kuna siri za ndani zimevuja zikamshtua mhusika. Chunga sana habari alizoandika Mange hivi karibuni. Ziliitikisa ikulu na kinachofanyika sasa naona kuondoa wote ambao ana wasiwasi nao hata iwe kidogo namna gani.
Rais hana uwezo wa kushindana na system hata angepangua mpaka usiku mpaka mchana, kama siri zitavuja atake asitake , labda wasitake ,tena kama hoja ni hiyo zitavuja mpaka akimbie ofisi
 
Siku hizi mbona huweki namba yako ya simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…