Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Daah, Naona Hamis kafeli tena kwenye cabinet,

Swali, Mamlaka za kuteua Hamis amewakosea nini?

Vipi hamuwezi kumsamehe kwani kijana kaloga kwa Kila mganga,

Hamis, au haya ni matokeo ya makafara Mungu kayakataa?
 
Naona Hamis kafeli tena,

Swali, Mamlaka za kuteua Hamis amewakosea nini?

Vipi hamuwezi kumsamehe?

Au ni matokeo ya makafara Mungu kayakataa?
Wewe umekosea nini?? Usiteuliwe
Mimi nimekosea nini/?nisiteuliwe..
Je, kati ya watz zaidi ya milioni60 yeye ndie mwenye legitimacy ya uwaziri/ uongozi..?

N.b huko shule ulienda somea ujinga?
 
Gundu alilolivaa safari hii ni kama la ndugu Suphian Matravolta, sijui akaoge wapi.
 
Kila la heri
Hii ya safari hii kakoroga maji na mafuta.
Ameona njia pekee ya kututoa kwenye reli ni uteuzi upembuzi uchafuzi.

Pelekeni watesi wenu mahakama ya ICC au Africa Mashariki kwa hapa nyumbani mnatwanga maji kwenye kinu. Mwanawe ashitakiwe pia.
Then 2025 mtakula kuku kwa mrija
 
CCM kama kawaida yao wataiba kura, na watashinda kwa ushindi wa kishindo

Bila wizi wa kura na kubebwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye uchaguzi, ccm hawawezi kushinda uchaguzi, labda washinde njaa.



NB: Asilimia kubwa ya wapiga kura ni vijana. Vijana wengi wana maisha magumu na ukosefu wa ajira unawatesa(majobless). Kwa hiyo kura za vijana zote zitaenda kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA. Kama uchaguzi ukiwa wa uhuru na haki na CHADEMA wakiwa serious na kampeni wakilenga kutatua hali ngumu ya kiuchumi na janga la ukosefu wa ajira, kuna uwezekano CHADEMA watashinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo kikubwa mno zaidi ya 70% mpaka 85% ya kura watachukua CHADEMA. Na kwa mara ya kwanza ccm ikatoka madarakani na CHADEMA wakaunda serikali.





Erythrocyte
 
Doroth Gwajima angekaa hiyoo wizara ya afya, sema mama muoga wa kugawana sifa. Hatakiwi mtu wa kupata sifaa zaidi yake.
Gwajima alishakuwa waziri wa Afya na akachemka vibaya, aliishia kugombana na watumishi wengi wa Afya kupita maelezo, alichukiwa mnoo na sekta nzima ya Afya.

Katika kipindi cha miaka 30 ya utendaji wa mawaziri wa wizara ya afya, Ukiondoa Dr. David Mwakyusa ambaye alileta mapinduzi makubwa mnoo katika mifumo ya utendaji wa wizara ya afya (hadi maslahi ya watumishi wa afya) akiwa waziri anayemfuata ni Ummy Mwalimu.

Sikuwahi kumkubali Ummy Mwalimu katika siasa maisha yangu yote lakini ndio mwanamama pekee ambaye amepita wizara ya Afya na kuweza kukubalika mnoo. Sijui alikuwa na bahati gani lakini nilipododosa niliwahi kuambiwa kuwa yule mama ni mtu msikivu sana anapoelezwa jambo na wataalamu wa wizara. She always goes parallel with her team.
Kupata mtu mbadala pale huenda ikachukua muda sana, Jenister Mhagama hapana, big no!
 
Unapata dhambi bureee kumtukana mtu direct hivyo, kwanza ujue huyo ni mke wa mtu, mama wa mtu dada wa mtu na hata pengine bibi wa wajukuu, hivi ndio kanisani mnafundishwa?
Futa hii post au
Siifuti kwa sababu ninajua nilichoandika na makanisani tunaambiwa hakuna zambi kusema ukweli
Pole kama umeumia kwa ukweli wangu
 
Hii ya kitambo na wengi ni marehemu.
 
Tunajua kabisa kila eneo la uongozi linaloongozwa muislam basi ni kampeni maalumu inaendeshwa ya kumtukana, kumlaumu, kumtisha, kumzushia uwongo na hata kumtusi direct yeye na familia yake, awe rais, waziri, naibu, mbunge na hata mkuu wa mkoa, na haya ni mafundisho na maagizo na mikakati maalum ya kanisa na vijana na kamati zao ili kuwatoa kwenye utulivu viongozi ili wakosee na ili ionekane wao hawawezi na wao pekee ndio wenye uwezo
Sasa tunawaambia fanyeni na semeni mtakavyo lakini ukweli tumeshaujua hamtudanganyi tena n'go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…