Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Kama wewe kwako unaona matusi sawa mimi kwangu naona ukweli.
Inawezekana ukweli ukawa ni matusi pia .
Mfano mtu anafanya mambo ya kutokujiheshimu akiambiwa hayo mambo ambayo ni kweli anaweza kusema kwamba ametukanwa
Kwahiyo wewe ulimuona akifanya ushangingi na ulimuona akipigwa miti na jk?
 
Headline sikuhizi ni #Uteuzi na Utenguzi Tu hakuna kingine.... Huwa najiuliza hizi Teua Tengua kila baada ya miezi 2 na hamisha hamisha za wakuu wa wilaya & makatibu tawala hivi serikali haijali hasara inazopata kila siku kuhamisha watumisha hawa?? Very Bogus yani
 
Mama amepumzishwa basi akasimamie vyema city college zake , tuone kama zitatamba bila ruzuku ya mchongo aliyokuwa anapata
Hiyo miradi ya hawa watawala ndivyo vichaka vya kufichia wizi wanaoufanya kwenye serikali. Wakiondoka serikalini na miradi inakufa.
 
Hii inakera Sana kupita kiasi.

Ndio maana Mimi binafsi huwa sitaki kutoa Maoni yangu kuhusiana na masuala haya ya Uteuzi na Utenguzi kwa sababu najua wenyewe mafisadi ambao huwa wananufaika na mambo haya ya kipuuzi watanipa Kesi ya Uchochezi.

Yaani pesa badala ya kutumika katika Mambo ya msingi ya ujenzi wa nchi, wanazitumia katika masuala yao haya ya kipuuzi!!? Kila siku kazi ni kuteua na kutengua!!
 
Matumizi mabaya ya fedha
  1. Posho za uhamisho
  2. Safari za kwenda uapishoni
 


Kazi iendelee

Mungu ibariki Tanzania

Rais tunaye
 
Sasa mama unamtoaje Dkt msonde kushughulika na masuala ya elimu. Unampelwmekaje ujenzi??? Uko umemficha mnooooo. Hiyo ni lulu sekta ya Elimu huko ujenzi unampoteza.
Tatizo la huyo mzee anaongea sana kias Cha kupoteza mvuto, yeye Kila siku ni kupambana na waalimu tu
 
Hakuna Tija yoyote ile inayopatikana kwa nchi kutokana na teuzi za namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…