Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

nilichooona haoo
Tokadk ingia dk
tok prf ingia dk
Kajambanani wachache sana
Acha nikasomee u dk wallahi
 
Sina shida ya mabadiliko lakini kwanini huwa hazitolewi sababu za mtu mmoja kutolea, kurudishwa, kuhamishwa hii cycle. Mimi naamini kama mtu anahama sehemu moja kesho anarudishwa tena pale pale kuna sababu. Ni wakati sahihi kuambiwa nini sababu ili walio nje wajifunze kutokana na makosa ya wengine. Hivi tuna tool gani ya kupima ufanisi wa mtu mmoja mmoja au taasisi au wizara.
 
Tuwe na mfumo ambao unamlazimiasha Rais kuumiza kichwa sana wakati anaunda timu yake.

Ule mfumo walio nao Kenya na Marekani ambako mawaziri wateuliwa na Rais kisha wanakuwa approved na Bunge kabla ya kupewa madaraka ni mzuri sana.

Hii teua teua kila siku na kuhamisha kila kukicha haileti tija katika maendeleo ya taifa na pengine inatokana na Rais kukosa umakini.

Longevity ni aspect muhimu sana katika uongozi na maendeleo. Hauwezi kubadilisha watu kila siku ukategemea matokeo makubwa.
 
Safi sana kwa waliokumbukwa,Bado napasha
Ww utapasha mpaka mwisho wa dunia. Hupati hata ubalozi wa nyumba ku
Feleshi atakua CJ maana muda wa Juma umeyoyoma!
Jamaa ana bahati sana ameshika vyeo vyote vikubwa kwenye fani ya sheria. Amekuwa Dpp amekuwa Jaji Kiongozi mahakama kuu amekuwa Attorney General bado kuwa CJ tu........aisee kuna watu wana bahati kwenye hii dunia
 
TAJIRI yaaan Viporo unatoa Kidogo Kidogo

Kwanini? zakayo Zakayo Zakayo
Zakayo ni mhimili ambao sio wa mchezo mchezo!

Amemsaidia sana kumpa connection na mahela ya kutosha Kwa kuandika ma proposal Kwa donors,lazima amuandae mbadala anaeeleweeka kuendeleza mazuri yake!!
La sivyo itakula kwake,

Zakayo ni jiwe hasta ndege zinasoma jina lake kwenye majabali!
 
Tatizo lake ni moja huyu mama mambo yote ya hovyo yanayoendelea afya, malalamiko yote na vilio vyote watu wanakupigia magoti mrudishe ‘Dorothy Gwajima’ hapo anakumudu.

Anaenda toa poyoyo mmoja na kufanya replacement ya poyoyo mwingine.
Na kama huyo aliyomuweka huwa hata sielewagi anafanyaga nini?! Katika watu wenye NGEKEWA huyu mama anayo kwani daaa,
 
Jipya ni team Maguguli kurudi, the rest ni drawing chairs and confusing the mssses!
 
Rais tangu aingie madarakani kazi anayoifanya kila siku ni kuteua na kutengua. Abdul na Mchengelwa mnamuangusha sana mama yenu
 
Hutokuja kuona huyu anatolewa hapo kwani hakuna Mtu anayejua Kuandika vyema Proposals za kupata Hela kwa Wazungu ambazo Mama anazipata kwa haraka kama Nchemba na Mama anamkubali hasa kwa hilo.
Mkuu britanicca na GENTAMYCINE kwa nini Dk. Kalemani harudi kwenye Nishati au hata popote barazani wakati ni mwamba sana. Alikosea wapi?
 
Mnaoshangilia Yummy Mwalimu kutumbuliwa kumbekeni Mzee wa Jalalani na Lukuvi pia walishawahi kutumbuliwa na huyu huyu SASHA kiufupi huyu Maza anacheza na akili zetu.
 
Jamani waziri bashe na skendo zote lakini wapi aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…