Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

safi Ummy urudi jimboni kwako sio safari kila siku , huku barabara mbovu uko busy na wizara tu.
 
Kipindi hiki tutaona mengi😂😂 Hadi maji yatapanda mlima.
Huyu mama alikurupukaga kumtoa kabudi na lukuvi ona sasa.
😂😂😂Magufuli alipowatengua madelu,Njaanury na Nape,walimuona Hana akili,sasa hivi anaanza kurudi kwenye njia ya Magufuli" Magufuli way,is the only way"😂
 
CCM NAONA SASA MAJI YAMEFIIKA SHINGONI
 
Naona kamba sasa inaanza kunyooka ila bado kuna viupinde upinde vimebakia,anatakiwa mama endelee kuivuta ili inyooke...
 
Hamza Johari nilimfahamu kwenye mazishi last two weeks. Zaidi ya hapo sikuwa namjua kwa sura zaidi ya kumsoma kwenye mikataba ya kimataifa tunayoingia hasa DP World alikuwa analivalia njuga kuwaunga mkono kama ana shares vile.
Hatimaye juhudi zake zimelipa 😃
 
Sijui nimawazo yangu au...ukuu wa wilaya ni hisani,maana naona watoto wa viongozi wa zamani wamejaaa.....ila nisawa tu,mtu kurisi kazi ya baba ake
 
Sasa ni rasmi Samia amekiri alidanganya sana Kuhusu JPM. Wale wote JPM aliwatafuta wamerudishwa. Kabudi, Makonda, Lukuvi, Hapi Asante mama kwa kukataa Fitna za akina Nape na Makamba
Hiv lukuvi na makonda walitafutwa na jpm?? Nilikuwa sijui
 
Acha uongo,toka lini Waziri akaandika proposal
Huyo ana maana zile proposals za mdomo na kuandika dokezo kwa Rais kuwa aridhie tozo fulani kama ile aliyompelekea Rais ya tozo za simu na ile ya kodi ya nyumba ikatwe kupitia meter za Tanesco. Hizo mbili ndizo zilimfanya Bi Kizimkazi, Chura Kiziwi am- adopt Dr Mwigulu kama mwanae wa kufikia. Na kweli Mwigulu kafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…