Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Baada ya kuharibu mambo ndio anajikuta anawarudisha...Dharau sana mmewekwa mtetee uovu wake mambo aliyopinga Magufuli ndiyo mnaenda tetea kwa samia

  • kabudi
  • lukuvi
-
Huyo ujasiri na uongozi wenu mpya umejaa unafiki matapishi yake mnaenda kuyameza.

Wakati haya yakiendelea muswada wa mabadiliko ya sheria TLS umepelekekwa bungeni hakuna yeyote anayezungumza hili

Mkumbuke hivi ni awamu ya tano muhala wa pili.. awamu ya sita haijaanza hiyo ndoto yake ya kuwaRais hadi 2030 aisahau
 
Hivi kuna faida yoyote ile ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida, iwapo Waziri atatokea kwenye Mkoa wako? Au ndiyo ule muendelezo wa ushabiki wa kipuuzi!!
 
Maji ya mvua yanayonyesha Tanga ni sawa tu na ya Mwanza na Dar...Hakuna kipya kihivyooo.
 
Niwe mkweli kabisa kabisa sikuona sbb ya Lukuvi kutenguliwa uwaziri na nilikoment one of the threads kumtakia mema after utenguzi. I'm glad now is back!!!! Hongera sana muheshimiwa. Malizia kipande cha iringa -pawaga - izazi road iwe lami basiiiiiiii!!!!!!
 
Nichekwe kivipi? Kwa sababu ya chawa wa Feleshi kutoka Sumve 2015
Siku Feleshi akiwa corrupt basi hakuna Mwanasheria wa serikali na wa kujitegemea asokuwa corrupt, namaanisha atakuwa wa mwisho, si swala la uchawa ni swala la uharisia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…