Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Tufike hatua tukubaliane kuwa hata mtenguzi na mteuzi anatakiwa kuwekwa kando maana hajui anachokifanya kama kipindi kile kina Kabudi na Lukuvi aliwatoa wamemfurahisha kipi tena akaona wanafaa.

Pia kama taifa tukubalini kuwa taifa linajiendesha tu kwa sasa halina kiongozi kabisa pale juu.
 
Wasomi wengi,teua mtu,akivuruga toa weka mwingine
 
Sasa kama ni wale wale kuna impqct yoyote?
 
Akili za watu hazitahamishwa kwa upuuzi huu
 
Mkuu bongo hakuna meritocracy inategemeana na mtauaji ameamkaje.
 
Ukipigwa chini tulia usiwe na maneno mengi na taarab
Kuna aliyetegemea ya KABUDI
sasa ukistaajabu ya NAPE utakuja kushangaa ya JANUARY
Mama amegundua wazarendo halisi aliwaacha tangu siku ile anatangaza Baraza lake,!

Wahuni walikuwa wanataka aachane na Baraza la jpm ili wale nchi vizuri.


Sasa hivi kagundua ukweli ndio maana wahuni wote kina Nape kawa tupa nje.
 
Lukuvi angerudishwa ardhi

kwa nini ardhi tu na siyo kwingine? kama ni mtu competent atapiga kazi popote tu na kuisadia nchi yetu, binafsi naamini watu smart haijalishi unawaweka wapi watapiga kazi tu na matokeo yataonekana, ona mf. makamba alipewa wizara nzuri ambayo angeweza kushine wizara ya nishati alipofika tu kaharibu, umeme ulizimwa mpaka siku alipoondolewa ndiyo umeme ukarudi, kapelekwa mambo ya nje huko nako usanii mtupu, katolewa tena …
 
Mama amegundua wazarendo halisi aliwaacha tangu siku ile anatangaza Baraza lake,!

Wahuni walikuwa wanataka aachane na Baraza la jpm ili wale nchi vizuri.


Sasa hivi kagundua ukweli ndio maana wahuni wote kina Nape kawa tupa nje.
Hii teuzi haina Hit wala Kiki yoyote kama alilenga kufukia Mambo ya chadema basi warudie tena hii imefeli kabla haijaanza.

Unaona kabisa ni teuzi haina mashika....toa hapa weka pale, pandisha juu shusha chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…