UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
Ndio njia pekee ya Serikali kutengeneza ajira
 
Awamu hii ni kutoa wagalatia na kuweka wavaa kobazi a.k.a vilaza..hii nchi kurndelea ngumu sana...rais apunguziwe madaraka..katiba mpya muhimu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
Bodi zenyewe hazina tija yoyote, ni kupeana ulaji na posho tu na hazijaweza kwa uthabiti kusaidia maendeleo ya kilimo Tz.
 
Back
Top Bottom