JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 7,808 Reaction score 16,972 Oct 13, 2021 #121 Mtoto wa nzi said: Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!?? Click to expand... Ndio njia pekee ya Serikali kutengeneza ajira
Mtoto wa nzi said: Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!?? Click to expand... Ndio njia pekee ya Serikali kutengeneza ajira
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Oct 13, 2021 #122 Awamu hii ni kutoa wagalatia na kuweka wavaa kobazi a.k.a vilaza..hii nchi kurndelea ngumu sana...rais apunguziwe madaraka..katiba mpya muhimu sana. #MaendeleoHayanaChama
Awamu hii ni kutoa wagalatia na kuweka wavaa kobazi a.k.a vilaza..hii nchi kurndelea ngumu sana...rais apunguziwe madaraka..katiba mpya muhimu sana. #MaendeleoHayanaChama
B Bunsen Burner JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 909 Reaction score 1,101 Oct 13, 2021 #123 Mtoto wa nzi said: Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!?? Click to expand... Bodi zenyewe hazina tija yoyote, ni kupeana ulaji na posho tu na hazijaweza kwa uthabiti kusaidia maendeleo ya kilimo Tz.
Mtoto wa nzi said: Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!?? Click to expand... Bodi zenyewe hazina tija yoyote, ni kupeana ulaji na posho tu na hazijaweza kwa uthabiti kusaidia maendeleo ya kilimo Tz.