Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

Hakika kabisa, jamaa aliona kama pale ndo kwake na TRA ni mali yake. He was so Cruel yaan so Cruel kabisa.
Mhede ni mtu wa hovyo kwa ujumla.

Alikua hana heshima kwa staff yake, management wala wageni waalikwa.

Kuna mkuu mmoja wa taasisi alitaka kwenda kumuona jamaa akamtolea nje, akamtuma commissioner wake mwingine. Huyo mkuu akaahirisha baada ya kuletewa commissioner, next time jamaa amekubali waonane jumamosi ofisini kwake (kwa mhede) mhede alikuja kavaa kaptula.

That guy is stupid kabisa.
 
Hivi Mhede muislam au mkristo?

Maana hii miislam na elimu Yao ya madrasa ni bure kbs...
tatizo la kufikiria kutumia tundu la kutolea mavi. Sasa kwa taarifa yako huyu alikuwa kama wewe ulivyo isipokuwa yeye yupo afadhali kuliko wewe. Umekalia udini sasa hapa imani za watu unazileta humu mdini wewe.
 
Mhede akiwa TRA alikua so arrogant.

Very stupid guy.
Mpuuzi sana yule jamaa alihamisha hamisha watu pale TRA wake wakatengana na wanaume zao familia zikasambaratika kwa ajili yake , kajamaa kadini kakabila kanafiki all shameless, sijui wateuaji wanatoaga wapi takataka kama zile, TRA walifanya pati kalivyotumbuliwa na hao DART watakua wamesherehekea haswaaaa maana kajamaa sio kabisaaa.
 
Kihamia ana bahati sana ukurugenzi, akianguka basi anaangukia ukatibu tawala wa mkoa
 
Hizi ni hearsay tu. Wakati mwingine tuchunguze. Unaweza pia kutolewa kila sehemu ambayo umekaba watu wasile . Ukitaka kuishi kwa kukubalika na kila mtu kuwa mwizi mwizi au ntu ya deal na wakubwa mbona unapeta sana. Sasa sio huyu habembelezi
Mhede ni mtu wa hovyo kwa ujumla.

Alikua hana heshima kwa staff yake, management wala wageni waalikwa.

Kuna mkuu mmoja wa taasisi alitaka kwenda kumuona jamaa akamtolea nje, akamtuma commissioner wake mwingine. Huyo mkuu akaahirisha baada ya kuletewa commissioner, next time jamaa amekubali waonane jumamosi ofisini kwake (kwa mhede) mhede alikuja kavaa kaptula.

That guy is stupid kabisa.
 
Hii nchi ya ajabu ajabu,Kuji alishastaafu siku nyingi.

Yaani hakuna mtanzania mwingine mwenye sifa hadi tumwajiri mtu anayestahili kucheza na wajukuu ?.

Ni hatari sana, mstaafu kutokana na umri mkubwa kurejeshwa kazini. Hii ni sawa na kupewa fadhila na hisani, itapunguza mtendaji kusema kweli daima kuhusu uhifadhi.
 
Hizi ni hearsay tu. Wakati mwingine tuchunguze. Unaweza pia kutolewa kila sehemu ambayo umekaba watu wasile . Ukitaka kuishi kwa kukubalika na kila mtu kuwa mwizi mwizi au ntu ya deal na wakubwa mbona unapeta sana. Sasa sio huyu habembelezi
Hakuna cha hearsay hapo. Sikutaka tu kuandika zaidi ili watu wasiweze ku decode maneno yangu. Haihusiani na deal wala nini. Nilichokiandika nakijua na kiko sahihi kwa 100%.
 
Hakuna cha hearsay hapo. Sikutaka tu kuandika zaidi ili watu wasiweze ku decode maneno yangu. Haihusiani na deal wala nini. Nilichokiandika nakijua na kiko sahihi kwa 100%.
Basi mkuu. Unafahamu one side of the coin kwa 100% nami najua upande wa pili pia
 
Ok tuambie huyo mtu wako amefanya nini cha maana hapo DART.
Sio mtu wangu kama asivyo mtu wako pia.
Nilikuwa najenga logic ya kujudge at only one angle. Suppose aka prove kwako kile ulikiona ni maelekezo.
 
Back
Top Bottom