Uteuzi na Utenguzi: Jaji Winfrida Beatrice Korosso ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Huyu EX DED ana akili mbovu Acha yamkute. Amefika Sumbawanga katoa amri za kipuuzi Sana. Yaani makosa ya viongozi kuplan stendi Mpya ikae eneo rafiki Kwa watumiaji inagharimu maisha ya Wananchi? Mtu anatoka Matai Kalambo km 34 amepewa rufaa kwenda hospitali ya mkoa iliyoko katikati ya mji wa Sumbawanga, anaipita kisa magari hayaruhisiwi kushusha abiria mjini Hadi stendi Mpya Katumba umbali wa km zaidi ya 15, halafu akishuka anachukua Bajaj kurudi zaidi ya km 15 kufuata hospitali? Mungu anajibu maombi.
 
Familia ya ukoo wa Chifu Koroso hiyo wana akili hatari wanetoa majaji kibao,viongozi wakubwa wa majeshi yote kibao na viongozi serikakini wakubwa kibao
Fair enough,surnames zingine hazina akili,au ni mwendelezo wa royal families kuwa recycle ♻️ kula pie ya taifa,wapi young graduates wapya wenye mawazo tofauti ili nchi itoke kwenye tope hili?wastaafu wa TAZARA hawalipwi kisa kigunge mmoja hataki walipwe wakati fedha yao ipo?mgando kama huu unahitaji ufikiri mpya,ondoa hizi surnames zilizosikika nchini karne nzima,ingiza zingine
 
Serikalini kuna vyeo vingi sana
Vyeo vyote hivyo ni mzigo na gharama wanazo zibeba wananchi.

Ccm ikitoka madalakani vyeo vingi vya kinyonyaji vitapigwa chini ili kutoa unafuu kwa wananchi ,na pesa hizo kupekekwa kwenye miradi ya maendeleo.
 
Kwa kasi hii ya kutumbua DEDs,Mh Rais aboreshe VETTING system yake,.

Ikiwapendeza hizo nafac za DEDs ziwe zinaombwa na mchakato uwe wa wazi+ fair
 
Kutoka Jaji wa Mahakama ya Rufaa mahakama ya juu kabisa supreme court nchini kwenda kwenye Tume, au alishastaafu Ujaji!!
 
Vyeo vyote hivyo ni mzigo na gharama wanazo zibeba wananchi.

Ccm ikitoka madalakani vyeo vingi vya kinyonyaji vitapigwa chini ili kutoa unafuu kwa wananchi ,na pesa hizo kupekekwa kwenye miradi ya maendeleo.
Ni kweli aisee maana hata vingine hujui vina kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…