Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huyu EX DED ana akili mbovu Acha yamkute. Amefika Sumbawanga katoa amri za kipuuzi Sana. Yaani makosa ya viongozi kuplan stendi Mpya ikae eneo rafiki Kwa watumiaji inagharimu maisha ya Wananchi? Mtu anatoka Matai Kalambo km 34 amepewa rufaa kwenda hospitali ya mkoa iliyoko katikati ya mji wa Sumbawanga, anaipita kisa magari hayaruhisiwi kushusha abiria mjini Hadi stendi Mpya Katumba umbali wa km zaidi ya 15, halafu akishuka anachukua Bajaj kurudi zaidi ya km 15 kufuata hospitali? Mungu anajibu maombi.Huyu ded kuna mtumishi kafanya sherehe jana na leo aliko manake alijua kumchukia boss wake toka akiwa halmashauri mupimbwe katavi
Ambako kesi yake ded inasomwa huko
Mungu amsaidie yeye na wengine
Mvhezo mchafu waliofanya watu wasiowaminifu wezi umewaponza mpaka wasiohusika