Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwee mweee mweee, Leo nalala hahahaha


Makamba out??? Tena Dola inasema....'Uteuzi wake umetenguliwaaa"



Kwa Mbarouk ,Dola inasema "atapangiwa kazi nyingine ""πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Makamba KIPARA ,aliwekwa chini ya TISS japo alijua, akadhan Mbarouk atakula vya kunyonga.


MAGUFULI KWA ROHO YAKE, HAKUWAONEA MAAKAMBA NA NAPE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…