Nope mkuu,video inayoendana na tukio la usiku huu ni ile mwamba anatema cheche anakwambia chama wamekipigania msituni huko sijui usiku na mchana mara paap ndio vurumai linatokea anakuja kuokolewa na swahiba wake kitenge.Jamani hakuna hata kavideo cha kusindikiza mada hata kale cha Nape kutembea kwenda kumuomba msamaha late JPM
Ingekuwa JPM angetuonyeshea mfano ila huyu maza tuendelee kujifurahishaLeo ntalala usingizi mororo mahi 😹😹😹
Ila ungenoga na Mr tozo angeleftishwa
Mwakan jambo lake n kwenye uchaguzi au?Mwakani ana jambo lake saiv atazibuka masikio halafu uchaguzi ukiisha tegemea madudu mengi mara 10 ya haya
Kazi tunakuachia maana matunda yameonekana 😂Madelu naye ipo siku na hivi kaanza kujileta kukanusha humu na kupita kila platform ujue moshi unafuka huko
Mambo ya fwedha au siyo 😂Bado yule wa wizara ambayo inadili na yale mambo yanayopendwa zaidi na wanawake
Subirini muone, tuombe uzimaMwakan jambo lake n kwenye uchaguzi au?
Ila hayo madudu baada ya uchaguzi sitoyashangaa mana nshamzoea kuharibu mambo
Duu hayati anaongeaBalali Oyeeee
Nimecheka mno Mkuu kwani Umepiga mule mule.Genta usicheke jamaa angu. 😁
Mama kajua maadui zake mwishoni sana, afagie wote. Bado mmoja anayenyemelea kiti chake amuwahiIngekuwa JPM angetuonyeshea mfano ila huyu maza tuendelee kujifurahisha
I'm mature enough...najua vingi vya nyuma na mbele.Wewe bado mdogo huijui dunia , omba uhai Mungu akupe umri yapo mengi ya kushuhudia ambayo macho yako hayaoni kwa sasa
Imeisha hiyo!Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Kama hawalipwi watajua wnyw hukoKumbe na makelele yote hapo Lumumba hujui kuwa waziri hana mshahara!!???
Kweli CCM ni hazina ya vilaza.
Mambo ya kausha damu😂Mambo ya fwedha au siyo 😂
Siku hiyo nitatoka mwanzi kutoka kariakoo hadi postaMama angemalizia na kwa mwigulu ili tukae vzr, kama hana mtu bc hy nafasi aiache hata wazi tuu 😎