Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Embu tizama hapa👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Professor Nagu katumbuliwa Kafanya Kitu ganiEmbu tizama hapa👎View attachment 3204606
Anaenda kuwa makamu mwenyekiti wa chamaKwanini Professor Nagu katumbuliwa Kafanya Kitu gani
Ni mambo ya kawaida katika utumishi wa Umma.Ndio Maana ya cheo ni Dhamana.Kwanini Professor Nagu katumbuliwa Kafanya Kitu gani
Na wewe lima sana ili ule hadi kufa kwako.Wote wana uhakika wa kula mpaka kufa
Geuza karatasi hiyo ya uteuzi kwa nyuma.Mbona jina lako halipo chawa mbobevu?
Yaani wewe watu tupo kwenye Maombezi ya Mkuu wetu wa wilaya halafu unaanza kufumania habari ya nafasi kuwa wazi.acha roho hiyo isiyo na utu wala ubinadamu.Kuna nafasi wazi ya uDC pale Songwe
Anainyemelewa chawa LucaYaani wewe watu tupo kwenye Maombezi ya Mkuu wetu wa wilaya halafu unaanza kufumania habari ya nafasi kuwa wazi.acha roho hiyo isiyo na utu wala ubinadamu.
Mimi siyo chawaAnainyemelewa chawa Luca
Basi Mpambe Luca anainyemeleaMimi siyo chawa
Marburg imemla kichwa Nagu!Embu tizama hapa👎View attachment 3204606
Sii nasemwa haipo?Marburg imemla kichwa Nagu!
Huyu jamaa anajua kusepa na kijiji, japo contents zake ni za kiwaki sana 🤣🤣🤣Nilivyokuja mbio mbio Nikajua Luka na wewe umepata safari hii,.
Anyways Mungu awatangulie kwenye majukumu yao mapya