Uteuzi na Utenguzi: Prof. Tumaini Nagu aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali atenguliwa, nafasi yake yachukuliwa na Dkt. Grace Magembe

Uteuzi na Utenguzi: Prof. Tumaini Nagu aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali atenguliwa, nafasi yake yachukuliwa na Dkt. Grace Magembe

Kwanini Professor Nagu katumbuliwa Kafanya Kitu gani
Ukijua sababu kwanini aliteuliwa unaweza usihoji sana kwanini aliteuliwa.

Simple tu, kama alivyoteuliwa (hatujui sababu) ndivyo alivyotumbuliwa (hatujui sababu).
 
Ametoka mtoto wa Marry Nagu. Ameingia wa Jumanne maghembe. National cake in this country is a family cake. Reserved for the few.
 
Back
Top Bottom