Tuanze na hapo alichaguliwa na Nani?Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi...
HakikaTumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Kuteua na kutengua anakofanya Samia si kwa lengo la kuongeza ufanisi serikalini au kuleta mabadiliko ya kiutendaji serikalini, bali kuonyesha nguvu na madaraka ya Rais mwanamke!
Badala ya teuzi na tengua zake kuleta maendeleo kwa Taifa zinaleta hasara na kudidimiza maendeleo ya nchi! Tangu aingie madarakani kwa kudra ya Mwenyezi Mungu teuzi na tengua zake zimegharimu Serikali mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kujenga shule, zahanati, barabara na miradi kadha wa kadha!
Mungu ibariki Tanzania!
PIA SOMA
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali
Hakuna tija yoyote ile inayopatikana kwenye suala hili la Kuteua na Kutengua Mara kwa mara zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kufuja fedha za Kodi za Wananchi ili kugharamia teuzi hizi.Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Kuteua na kutengua anakofanya Samia si kwa lengo la kuongeza ufanisi serikalini au kuleta mabadiliko ya kiutendaji serikalini, bali kuonyesha nguvu na madaraka ya Rais mwanamke!
Badala ya teuzi na tengua zake kuleta maendeleo kwa Taifa zinaleta hasara na kudidimiza maendeleo ya nchi! Tangu aingie madarakani kwa kudra ya Mwenyezi Mungu teuzi na tengua zake zimegharimu Serikali mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kujenga shule, zahanati, barabara na miradi kadha wa kadha!
Mungu ibariki Tanzania!
PIA SOMA
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali
Ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipoishia?Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Kuteua na kutengua anakofanya Samia si kwa lengo la kuongeza ufanisi serikalini au kuleta mabadiliko ya kiutendaji serikalini, bali kuonyesha nguvu na madaraka ya Rais mwanamke!
Badala ya teuzi na tengua zake kuleta maendeleo kwa Taifa zinaleta hasara na kudidimiza maendeleo ya nchi! Tangu aingie madarakani kwa kudra ya Mwenyezi Mungu teuzi na tengua zake zimegharimu Serikali mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kujenga shule, zahanati, barabara na miradi kadha wa kadha!
Mungu ibariki Tanzania!
PIA SOMA
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali
4R tumeziona Mbeya kupitia Mbowe waliyefanyanae hizo 4RNdipo mwisho wako wa kufikiri ulipoishia?
Unajuwa maana ya R nne za Rais mama Samia Suluhu Hassan?
Mbowe ni mtoto nunda wa nyumbani, kama mlikua hamuelewi.4R tumeziona Mbeya kupitia Mbowe waliyefanyanae hizo 4R
Ni mbwembwe na kufuja fedhaAnachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Hoja zake Zina mashiko, asipuuzwe wala asibezwe.Ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipoishia?
Unajuwa maana ya R nne za Rais mama Samia Suluhu Hassan?
Kama wewe mama bikizee ulivyo Nunda kwa wapenda haki!!Mbowe ni mtoto nunda wa nyumbani, kama mlikua hamuelewi.
Lussu kishamstukia, too late.
Boss "literature" yako nzuri ila ndani ya uwanja mambo hayako hivyo.Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.