Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na mimi ninachokiona anafanya mambo ya kutengua na kuteua kila wakati ili kuwapumbaza wananchi wamuone kama anachapa kazi hali ya kuwa nchi imemvuruga kazi imemzidi hajui atokee wapi na aingilie wapi.
Wananchi hatudanganyiki!
 
Na mimi ninachokiona anafanya mambo ya kutengua na kuteua kila wakati ili kuwapumbaza wananchi wamuone kama anachapa kazi hali ya kuwa nchi imemvuruga kazi imemzidi hajui atokee wapi na aingilie wapi.
Samia anafanya kazi nzito sana huko mikoani, nyinyi wa nyuma ya keyboard hamuelewi lolote maskini ya Mungu.
 
Alienda kufanya kazi gani huko Rukwa?Au vile anavyopita na msafara wa magari huku watu wakimshangilia ndio kufanya kazi?
Kuna viwanda vimefunguliwa huko, kuna mazingira ya uchumi kukua yametengenezwa.

Kuna suala la umeme kuendelea kusambazwa. Usipende tu kusoma habari za michezo ukaona umeshasoma gazeti zima hata ikiwa ni la online.
 
Viwanda vingapi na ni viwanda vya aina gani maana hata cherehani pia wanaitaga kiwanda,Kuhusu umeme na maji tangu mwaka 1961 bado wanahangaika hawajamaliza hadi leo ni uzembe wa kiwango cha SGR.
 
Unalalamika tu hujui hata unaloongea masikini ya Mungu. Tembea Tanzania na anzia hapo mkoa wa Pwani uone shughuli za kiuchumi zinavyofanyika kuliko kupiga kelele ukiwa nyuma ya keyboard yako jijini Dar.
 
Wewe sio bure utakuwa umerogwa na uchawa viwanda hivyo vya kuviona wewe peke yako watu wengine wasivione,mikoa yote watu wanalalamika maisha magumu
Mliorogwa ni aina yako wewe watu mnaodhani yupo Rais atakayewaletea pesa mifukoni. Kuna umeme unasambazwa nchi nzima, kuna barabara zinajengwa kila eneo, kuna mahospitali yanayojengwa kila kukicha.

Kwa uvivu wako kila Rais utasema hafai katika nchi hiyo hiyo ambayo vijana wanatajirika muda huu.
 
Back
Top Bottom