Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Punguza jazba kwenye maongezi, unapotumia neno chawa zaidi ya mara moja ni kielelezo cha kutokwa mapovu.Unashindwa kutofautisha kati ya uwezo wa Samia na kazi za Serikali zinazoendelea kwa sababu ya uchawa!
Kazi zinazoendelea si kwa sababu ya Samia hata asingekuwepo kazi hizo zingefanyika!
Kwa ujinga na uchawa wako unadhani zinafanyika kwa sababu ya Samia!
Hoja iliyopo hapa ni uwezo wa Samia kusimamia watu wake aliyowateua mwenyewe! Hana uwezo, anawahofia na anawaogopa hivyo silaha aliyobaki nayo ni kuwateua na kuwatengua ili mradi awajaze hofu washindwe kutekekeza majukumu yao!
Kwako hilo unalishangilia bila tafakuri kwa sababu ya uchawa!
JPM na sifa zote alizopewa alishindwa pia kuwasimamia hao wasaidizi wake akaishia kuwasimamisha kazi miaka mingi huku wakiendelea kulipwa mishahara.
Pia SSH anao upinzani kutoka kwa Nape, Makamba, Ummy na watu wengine walio nyuma ya hao. Anachukiwa lakini miradi yote inaendelea kumalizika.
Hatuongozwi na malaika tunachagua binadamu wenzetu wenye miili ya damu na nyama.