peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani.
Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani.
RPC akimteua trafic lazima umpelekee Asante kila Ijumaa ofisini kwake hata mimi nimechoka kupeleka fedha kwa RPC wangu na usipopeleka fedha za kutosha kila wiki unahishiwa field force unit, maana yake lazima uchukue fedha barabarani kwa gharama yoyote.
IGP anza na hili utafanikiwa sana.