UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha pili

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
EjLCR3GXcAAnzfn.jpeg
 
Uyu mpuuzi proffesor kakata PESA Za wanafunzi za boom ili ateuliwe wanafunzi wa mzumbe campus zote boom la mwisho tumepewa laki180

Huu ni unyanyasaji.
 
Professor Matthew Luhanga unamuita mpuuzi?
Hakika una matatizo ya kuongea juu ya watu usiowajua.
Prof. Matthew Luhanga ni Mwalimu wangu, miaka kadhaa kabla hajawa Chief Academic Officer wala Vice Chancellor wa University of Dar es Salaam.
Huyu msomi mahiri yupo kwenye kundi dogo sana la Watanzania ambao Mungu amewajalia 'bongo' iliyozidi kiwango.
Std 12 alipata, kwa viwango vya sasa, 'A' masomo yote.
Std 14 alipata 'A' zote.
Chuo Kikuu cha California, Marekani, shahada ya kwanza ya Uhandisi Umeme alipata 'B+' moja, nyingine zote 'A', kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa nne.
Kwa hakika, kwangu mimi Mwanafunzi wa Prof. Luhanga, nimekwazika kwa kitendo chako cha kukosa heshima na kutumia maneno yasiyofaa juu ya Msomi Mahiri sana.
 
Ufaulu wa darasani si uelevu na uweledi katika maisha.
Unaloliona wewe zuri kwa wenzio ni tofauti.
Usilazimishe mfanane pia asiyekujua hakuthamini.

Namuombea msamaha huyo aliyekukwaza.
 
Ufaulu wa darasani na u-Vice Chancellor kwa takriban miaka 18, bado unatilia shaka uelevu na uweledi katika maisha?
Hakika watu weusi hatuthamini vya kwetu.
Sikutaka kuzungumzia uelevu na uweledi wa huyo unayemwombea msamaha, ambaye anamtuhumu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chairman of the University Council, kwa kumkata 'boom' lake.
Anazifahamu kazi za Baraza la Chuo Kikuu?
Baraza ambalo lina uwakilishi mzito wa Serikali za Wanachuo?
Lakini nakushukuru kwa kuonyesha ustaarabu.
 
Namjua vizuri Sana Prof heshima kwake ...!! Ila ni sawa mgombea urais kuendelea kuapisha na kuteua tengua? Katiba katiba katiba elimu elimu elimu
 
Professor Matthew Luhanga unamuita mpuuzi?
Hakika una matatizo ya kuongea juu ya watu usiowajua.
Prof. Matthew Luhanga ni Mwalimu wangu, miaka kadhaa kabla hajawa Chief Academic Officer wala Vice Chancellor wa University of Dar es Salaam.
Huyu msomi mahiri yupo kwenye kundi dogo sana la Watanzania ambao Mungu amewajalia 'bongo' iliyozidi kiwango.
Std 12 alipata, kwa viwango vya sasa, 'A' masomo yote.
Std 14 alipata 'A' zote.
Chuo Kikuu cha California, Marekani, shahada ya kwanza ya Uhandisi Umeme alipata 'B+' moja, nyingine zote 'A', kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa nne.
Kwa hakika, kwangu mimi Mwanafunzi wa Prof. Luhanga, nimekwazika kwa kitendo chako cha kukosa heshima na kutumia maneno yasiyofaa juu ya Msomi Mahiri sana.
Pombe sio chai..kwa hiyo wewe unazani na hizo A zake cjui B+ ndo asiwe mwizi wa hela za wanafunzi wa chuo?? Nazani hujielewi na wewe..pole yako..kumbe amekurithishaa tabia kama mwalimu wako
 
Back
Top Bottom