UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

Nami naomba nikazie na kumuongezea...
KONGOLE NYINGI SANA KWAKE, NI MCHAPAKAZI KWELI NA MWANAMABADILIKO SANA.

Nampenda.
 
Necta penyewe kuna vishoka wa kuhakikisha unaenda marking kila mwaka, atapaweza tamisemi?

Hana jipya.
 
dini fulani miaka yote shule zao zina bebwa wana kuwa top 10 kumbe mitihani wanapewa sasa tunataka tuone watoto wenye akili sio kupewa mitihani
Acha uongo na uzushi, leta ushahidi kwamba wanapewa mitihani.

Nyinyi mliofeli ni kawaida kuona wenzenu waliofaulu wamepewa mitihani
 
Dkt Msonde alifanya kazi iliyotukuka pale necta, baraza la mitihani liliheshimika chini ya uongozi wake. Tunaomba tupate mtanzania mwingine bora zaidi wa kuliongoza baraza letu lamitihani. Kila la heri huko ulikoenda dkt Msonde.
 
dini fulani miaka yote shule zao zina bebwa wana kuwa top 10 kumbe mitihani wanapewa sasa tunataka tuone watoto wenye akili sio kupewa mitihani
Uongo tu Tafuta sababu zingine

Feza secondary ya waislamu tena wa swala tano mbona kila mwaka iko top ten?

Unasemaje kwa hilo?
 
Umejawa na udini tu ww mpuuzi, kwaiyo mnataka hapo akae mkristo?! kkenge nyie
 
Kumbe wakristo mna chuki Sana na Waislamu, aisee sasa nimeamini vizuri,kwaiyo mnataka taasisi za elimu wakae wakristo wenzenu nyie Wala nguruwe?;! Mmmbwa kweli nyyyie
 
Wanaleta baragashea kama walivyofanya sekretarieti ya ajira. Nakuonya Balozi Hussein Katanga wacha njama zako unazoendelea nazo za sectorolization katika utumishi wa umma.
Takatka wewe,usimpangie Cha kufanya Balozi Hassani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…