Uteuzi: Rais Samia amteua Majaba Shabani Magana kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU)

Kila la kheri kwa wateuliwa..
Mama mitano tena
 
Bana anarud jalalan?

Kaleta impact gan Kwa taifa tangu awe Nigeria?

Wasomi wetu hopeless kabisa
 
Majaba Shabani Magana , huko Azania alikuwa mtumishi wa Umma??
Au ndio kwanza anakwenda kuwa mtumishi wa Umma?
Walioko mtaani na ni wasomi inakuwaje hawakumbukwi kwenye nafasi kama hizi?
 
Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU),ofisi zao ziko wapi na hiki kitengo Kiko chini ya wizara ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…