UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA
===
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
===
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.Uteuzi huu unaanza mara moja.