UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

Huyu dada kwa ile sanaa aliyofanya juzi kutumbuliwa ilikuwa ni lazima
 
Huyo six alikuwa Katibu Mkuu wa uvccm.
Kwenye ripoti ya Mali za CCM ya Bashiru alimtaja jamaa kama mojawapo wa wezi wa Mali ya chama Kwa kufoji mihutsari ya uongo na kisha kuuza viwanja vya uvccm kimagumashi
Victoire umejibiwa hapa, chanzo cha jamaa kukatwa
 
Huyu mapunda kwenye mali za chama alifanya yake, Wala hakuonewa. Alifoji docs na kuuza. Sasa hivi ameteuliwa naamini ni kupewa nafasi ya kujirekebisha, vinginevyo mama pia atampiga chini
Mama yenu na wezi wa mali za umma damu damu usitegemer hilo
 
Ingekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.
Mama akiwatumbua hao atakuwa na wakati mugumu Santa kwenye uchaguzi ujao. Anachokifanya ni funika kombe mwanaharamu apite
 
Magufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini.Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Unamuongelea aliyekuwa Dàs wa Kisarawe Comrade Mtelar mwampamber! 😃

Jamaa alitumbuliwa kimasihara sana, huku akipigwa na vijembe vya kutosha tu mbele ya hadhara na Mzee mwenye nyumba.
Baada ya hapo, hajawahi kusikika mahali popote nchini!!
 
Et ndo huyu kweli?
20230310_154456.jpg
 
Mama akiwatumbua hao atakuwa na wakati mugumu Santa kwenye uchaguzi ujao. Anachokifanya ni funika kombe mwanaharamu apite
Na kweli maana hajawahi hata kuwazungumzia juu ya lawama zilizopo juu yao.
 
Wameonyesha viburi gani hivyo?unajua ukiwa unamchukia mtu hata kwa kusikia tu ndio madhara yake haya.kiburi gani hicho wamekionyesha?
Viburi kwenye majibu na kauli zao, kama kauli za kuwaambia wananchi kuhamia Burundi ni katika kuonyesha kiburi wazi wazi.
 
Back
Top Bottom