Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Yeah!Picha za DC....mmh! amekaa kitom-boy haswaaa
Pengine hicho pia kimempoza...
Timu upinde wa mvua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah!Picha za DC....mmh! amekaa kitom-boy haswaaa
Huyo ndo muheshimiwa mstaafu!!! Nimemuona twita sikuelewa kabisa!!!! Acha atulize kichwa kwanza
Victoire umejibiwa hapa, chanzo cha jamaa kukatwaHuyo six alikuwa Katibu Mkuu wa uvccm.
Kwenye ripoti ya Mali za CCM ya Bashiru alimtaja jamaa kama mojawapo wa wezi wa Mali ya chama Kwa kufoji mihutsari ya uongo na kisha kuuza viwanja vya uvccm kimagumashi
Mama yenu na wezi wa mali za umma damu damu usitegemer hiloHuyu mapunda kwenye mali za chama alifanya yake, Wala hakuonewa. Alifoji docs na kuuza. Sasa hivi ameteuliwa naamini ni kupewa nafasi ya kujirekebisha, vinginevyo mama pia atampiga chini
Nimecheka sana. Huyo ndio alikuwa DC?Alicho kifanya dc akamwagwaView attachment 2543977
She was not DC material, mavazi ya hovyo sana. Siyo dege la kivita kweli huyu?
Mama akiwatumbua hao atakuwa na wakati mugumu Santa kwenye uchaguzi ujao. Anachokifanya ni funika kombe mwanaharamu apiteIngekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.
Daah Wanawaokota wapi hawa Viumbe????
Unamuongelea aliyekuwa Dàs wa Kisarawe Comrade Mtelar mwampamber! 😃Magufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini.Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Alikuwa timu MembeMagufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini.Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Na kweli maana hajawahi hata kuwazungumzia juu ya lawama zilizopo juu yao.Mama akiwatumbua hao atakuwa na wakati mugumu Santa kwenye uchaguzi ujao. Anachokifanya ni funika kombe mwanaharamu apite
Viburi kwenye majibu na kauli zao, kama kauli za kuwaambia wananchi kuhamia Burundi ni katika kuonyesha kiburi wazi wazi.Wameonyesha viburi gani hivyo?unajua ukiwa unamchukia mtu hata kwa kusikia tu ndio madhara yake haya.kiburi gani hicho wamekionyesha?