UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA



===
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
 
Hivi watumishi wa umma au wafanyakazi si huwa wanapewa barua za utenguzi au kufukuzwa? Kwa hawa ni vipi au unaona tu taarifa kama hivi? Na ndani ya barua huwa wanapewa / wanaambiwa sababu ya utenguzi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…