UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Hao ndio wanacoordinate masuala husika mfano Diplomasia huyo anauwezo hata wa kusikiliza na kutafuta maoni toka kwa wabobezi waliopo wizarani, vyuoni mfano masuala ya Afrika anaweza kumconsult Kibamba toka pale kurasini chuo cha diplomasia akapata insights halafu akazihitimisha akampa bosi wake,

Hizi nafasi zinahitaji watu wenye uweledi wa hali ya juu sana. Wengine hapo hatuwafahamu ingependeza mngeweka Cv kwa mbali. Kuna mtoto mdogo hapo kamaliza Usiu university kenya naona kalamba shavu kubwa.
 
Rais anaweza kushauriwa na mshauriwake wa kidipolmasia jambo ambalo hajashauriwa na waziri wake wa foreign na utakuta lina manufaa akamwagiza waziri. Rais ni chombo kikubwa lazima awe timu ya watu wenye uwezo tofauti.
 
Sasa huyo na Wazir wa mambo ya Nje nani ana nguvu kwa Mh Rais?
 
Wote watangazwe. Hao ni washauri wa Rais hivyo mambo mengi atakayoamua au kusema Rais yana mawazo na utendaji wa hao watu pia.
Wakuu wa mikoa na wilaya ndio watangaze, hao wengine wapewe taarifa tu personally.
 
Alikuwa yule mpwa wake Jiwe anaitwa Ngusa Samike
Ngusa Samike ni mtoto wa Mzee Samike,aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Singida miaka ya 90,Mkuu wa mkoa akiwa Mwita Marwa enzi hizo.Dada yake na Ngusa anaitwa Leah Samike,ambaye sasa ni mwandishi wa habari.Sina uhakika kama Mzee Samike ana uswahiba na Jiwe!
 
Wasaidizi wa Ndani kuna haja ya kututangazia umma? Nileteeni Gwajima.....!!!!
Wasukuma safari hii kila jambo kwenu analo lifanya Rais Samia kwenu ni kero ,wakati wengine tunaishukuru korona kwa kutuondolea matatizo tanzania wasukuma muilaumu korona kwa kuwaondolea mungu mtu wenu mliye jitengenezea
 
Wasaidizi wa Rais ndio washauri wa Rais katika sekta mbalimbali. Usingependa au unafikiri sio muhimu kufahamu Rais wako anashauriwa na watu gani?
Mnaelewa madhara ya kuendesha serikali hasa ofisi namba 1 gizani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…